Nimejitoa mitandao yote ya kijamii nimebakia JF tu.

Nimejitoa mitandao yote ya kijamii nimebakia JF tu.

Mzee wa Ngese wamemtibua huko mpaka ameamua kuwa mpigania maadili.

Mitandao yote ya kijamii ni mind programming ya wazungu na ajenda ya ushoga na usagaji inachomekwa kila mahali. Hakuna pa kutokea hata huku JF utaziona chembe chembe zake mkuu japo utakuwa umepunguza. Kila la heri na asante kwa uamuzi sahihi. Binafsi nimebakiza JF na YouTube. Youtube ni shule kamili na unaweza kujipatia hata digrii ya bure ukitaka. Cha muhimu tu uwe focused vinginevyo utajikuta umefika kwenye ndombolo wakati umeanza na Biblical Truths and Conspiracies...
You tube sipo addicted sana nayo sana kule naenda kwa sababu maalum. N

Mzee wa Ngese wamemtibua huko mpaka ameamua kuwa mpigania maadili.

Mitandao yote ya kijamii ni mind programming ya wazungu na ajenda ya ushoga na usagaji inachomekwa kila mahali. Hakuna pa kutokea hata huku JF utaziona chembe chembe zake mkuu japo utakuwa umepunguza. Kila la heri na asante kwa uamuzi sahihi. Binafsi nimebakiza JF na YouTube. Youtube ni shule kamili na unaweza kujipatia hata digrii ya bure ukitaka. Cha muhimu tu uwe focused vinginevyo utajikuta umefika kwenye ndombolo wakati umeanza na Biblical Truths and Conspiracies...

You tube sipo addicted sana nayo sana kule naenda kwa sababu maalum. Mara nyingi kwenda kujifunza tu.
 
Kwa nyie vijana kutoka sio rahisi mpake ujitathimini sana ..wamesha waprogramm .wanavesha wanavyotaka wao mitindo ya nywele kucheza we ushangai dunia nzima munachezeshwa style mmoja
Jamani hata usemeje mm sitoki maana huko ndio pananifanya niitwe Rayvanny
 
Naomba nielekezwe jinsi ya kudelete Facebook account

Nenda pale kweny FAQ andika "how to permanent delete my account" watakupa options mbili either to deactivate or delete chagua delete but utasubiri 14 days ili account yako ifutwe kabisa so hizo siku 14 zote account yako itakuwa temporary deactivated in case you change your mind, na baada ya hizo siku 14 itakuwa deleted permanently...!!!
 
Back
Top Bottom