mzeewangese
JF-Expert Member
- Feb 11, 2016
- 643
- 499
- Thread starter
-
- #41
You tube sipo addicted sana nayo sana kule naenda kwa sababu maalum. NMzee wa Ngese wamemtibua huko mpaka ameamua kuwa mpigania maadili.
Mitandao yote ya kijamii ni mind programming ya wazungu na ajenda ya ushoga na usagaji inachomekwa kila mahali. Hakuna pa kutokea hata huku JF utaziona chembe chembe zake mkuu japo utakuwa umepunguza. Kila la heri na asante kwa uamuzi sahihi. Binafsi nimebakiza JF na YouTube. Youtube ni shule kamili na unaweza kujipatia hata digrii ya bure ukitaka. Cha muhimu tu uwe focused vinginevyo utajikuta umefika kwenye ndombolo wakati umeanza na Biblical Truths and Conspiracies...
Mzee wa Ngese wamemtibua huko mpaka ameamua kuwa mpigania maadili.
Mitandao yote ya kijamii ni mind programming ya wazungu na ajenda ya ushoga na usagaji inachomekwa kila mahali. Hakuna pa kutokea hata huku JF utaziona chembe chembe zake mkuu japo utakuwa umepunguza. Kila la heri na asante kwa uamuzi sahihi. Binafsi nimebakiza JF na YouTube. Youtube ni shule kamili na unaweza kujipatia hata digrii ya bure ukitaka. Cha muhimu tu uwe focused vinginevyo utajikuta umefika kwenye ndombolo wakati umeanza na Biblical Truths and Conspiracies...
You tube sipo addicted sana nayo sana kule naenda kwa sababu maalum. Mara nyingi kwenda kujifunza tu.