Nimejitoa Rasmi CHAPUTA

Nimejitoa Rasmi CHAPUTA

mkurya org.

JF-Expert Member
Joined
Sep 25, 2014
Posts
1,571
Reaction score
1,695
Habari wanandugu wenzangu wa chama cha wapiga punyeto Tanzania baada ya muda mrefu kuwa kiongozi mojawapo wa hiki chama nimeamua kujitoa Rasmi CHAPUTA hapo ni baada ya kupata mtoto mkali wa kipare na nimeamua kutulia naye,kwa hiyo nawashauri waliokuwa wanachama wenzangu kutafuta wenzetu ili tuweze kutulia nao na kupunguza stress za hapa na pale,,Naahidi kuwa naye muda wote ili nisije nikaingia tena kwenye hiki chama kwa mara nyingine tena.

Asanteni
 
We jamaa kuna waziri wa Rwanda alipiga puchu ofisini, na yule ana mke na watoto na naamini anaweza kumpata anayemtaka kwa nchi aliyomo lakini bado ni mfuasi.

Wewe nadhani siyo waziri, halafu huo uhusiano ndiyo kwanza unaanza hapo kila kitu unaona kitamu wewe ndiyo wewe dunia nzima, siku ukikuta meseji yangu kwenye simu yake tutashangaa umeibuka chamani kwa fujo.

Nakukaribisha in advance.
 
Na kwanini umejitoa bila kunitaarifu M/kiti niliejiuzulu na baada ya wiki nikajirudisha[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]

Jamii Forums mobile app
 
Hahahaaaa meseji yako tena kwenye simu yake..???
 
Ukifanikiwa kutokupiga kwa wiki yote (wiki ijayo),Jumatatu kuna vocha yako ya buku.
Nishtue tu usijali, najua ni zawadi ndogo ila nitaitoa kwa moyo.
 
Naomba nitoe TAHADHARI kwa wote mliopo chaputa, hiyo issue ni very destructive phsychologically and physically. Kwa waelewa watanielewa.
 
Usije kufanya kama yule prof wa buguruni

Ukaja rudi na uongozi utake

Sent using Jamii Forums mobile app

[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Mimi huyo

Back
Top Bottom