[emoji1] [emoji1] [emoji1] mkuu issue ya msingi ni kutafuta pesa, hao wanasiasa wanakuwa kazini pia.Binafsi nimekosa cha kuongea,
Siasa zetu zimejaa unafiki kwa kiwango cha PhD,
Sikutegemea kama wanasiasa wetu wamekuwa wanafiki mpaka wanakuwa wasahaulifu mapema kiasi hiki,
Mkuu alisema hatashirikisha wapinzani kwenye serikali yake kamwe,
Ajabu kasahau kajisahaulisha au imekuwaje kifupi sielewi,
Kitila juzi tu hapa hata miezi 2 haijapita alikuwa akilalamika Rais anateuwa sana wahadhiri na sasa Kuna upungufu wa wahadhiri, ajabu yeye sijui ni mwalimu wa chekechea au vipi,
Majuzi hapa alikuwa anatokwa povu kwa Rais kwanini hajamtumbua makonda tena akaenda mbali zaidi kuhoji ukaribu wa makonda na Rais una nini?
Sitaki kumzungumzia Zitto kaonyesha unafikia wa Hali ya juu pia, kisa Rais kumteua mkumbo basi amepewa na sifa ya Rais wa kuwaunganisha watanzania Bila kujali vyama vyao,
Jamani sasa mtaniona kwenye michango ya chit chat na MMU
Mods mkiona comment yangu kwenye siasa nipeni BAN
Mkuu huu uzi ndio wa mwisho kuchangia siasa, sijaona kiongozi ambae sio mnafiki sasa nimejiridhisha,Pole mkuu,ni rahisi sana kuachana na mchepuko wako kuliko kutengana na jukwaa hili.Usiage,hasira zikiisha rudi bila kupiga hodi.
Mkuu babu yangu aliwahi kuniambia kuwa, "baadhi ya wanasiasa wasomi matumbo yao yanaongoza akili zao."Mkuu huu uzi ndio wa mwisho kuchangia siasa, sijaona kiongozi ambae sio mnafiki sasa nimejiridhisha,
Zitto alipokuwa akishutumiwa mitandaoni kuwa msaliti nilimtetea sana, sasa nimethibitisha unafiki wake
Karibu huku upande wa pili.Leo kuna kumbukumbu ya viatu vya Bora 1979.Mkuu huu uzi ndio wa mwisho kuchangia siasa, sijaona kiongozi ambae sio mnafiki sasa nimejiridhisha,
Zitto alipokuwa akishutumiwa mitandaoni kuwa msaliti nilimtetea sana, sasa nimethibitisha unafiki wake
We ndo umeyajua leo hayo? Mko wengi sana humu poleni sana. Kajipangeni 2020 mje na ngonjera zingine humu.Binafsi nimekosa cha kuongea,
Siasa zetu zimejaa unafiki kwa kiwango cha PhD,
Sikutegemea kama wanasiasa wetu wamekuwa wanafiki mpaka wanakuwa wasahaulifu mapema kiasi hiki,
Mkuu alisema hatashirikisha wapinzani kwenye serikali yake kamwe,
Ajabu kasahau kajisahaulisha au imekuwaje kifupi sielewi,
Kitila juzi tu hapa hata miezi 2 haijapita alikuwa akilalamika Rais anateuwa sana wahadhiri na sasa Kuna upungufu wa wahadhiri, ajabu yeye sijui ni mwalimu wa chekechea au vipi,
Majuzi hapa alikuwa anatokwa povu kwa Rais kwanini hajamtumbua makonda tena akaenda mbali zaidi kuhoji ukaribu wa makonda na Rais una nini?
Sitaki kumzungumzia Zitto kaonyesha unafikia wa Hali ya juu pia, kisa Rais kumteua mkumbo basi amepewa na sifa ya Rais wa kuwaunganisha watanzania Bila kujali vyama vyao,
Jamani sasa mtaniona kwenye michango ya chit chat na MMU
Mods mkiona comment yangu kwenye siasa nipeni BAN
Binafsi nimekosa cha kuongea,

huku wenyewe mkijiita wanaharakati kumbe mnawatengenezea wenzenu ulaji, mwisho wa siku mnalalamika maisha magumu na kuilaumu serikali kumbe muda mwingi ulitumia mtandaoni ukasahau kulitafutia tumbo lako, utasubiri sana serikali ikupe mafanikio.Nimekereka sana toka jana, watu tunatumia bundle zetu ku upload clips zao mitandaoni kumbe njaa tu zinawasumbua
Mnapoambiwa na MKUU pigeni kazi huwa anamaana kubwa sana.Binafsi nimekosa cha kuongea,
Siasa zetu zimejaa unafiki kwa kiwango cha PhD,
Sikutegemea kama wanasiasa wetu wamekuwa wanafiki mpaka wanakuwa wasahaulifu mapema kiasi hiki,
Mkuu alisema hatashirikisha wapinzani kwenye serikali yake kamwe,
Ajabu kasahau kajisahaulisha au imekuwaje kifupi sielewi,
Kitila juzi tu hapa hata miezi 2 haijapita alikuwa akilalamika Rais anateuwa sana wahadhiri na sasa Kuna upungufu wa wahadhiri, ajabu yeye sijui ni mwalimu wa chekechea au vipi,
Majuzi hapa alikuwa anatokwa povu kwa Rais kwanini hajamtumbua makonda tena akaenda mbali zaidi kuhoji ukaribu wa makonda na Rais una nini?
Sitaki kumzungumzia Zitto kaonyesha unafikia wa Hali ya juu pia, kisa Rais kumteua mkumbo basi amepewa na sifa ya Rais wa kuwaunganisha watanzania Bila kujali vyama vyao,
Jamani sasa mtaniona kwenye michango ya chit chat na MMU
Mods mkiona comment yangu kwenye siasa nipeni BAN
Kwa hali hii ya watu kususa aliyoyasema magu ya kuusambaratisha upunza kabla ya 2020 yanawezekanaBinafsi nimekosa cha kuongea,
Siasa zetu zimejaa unafiki kwa kiwango cha PhD,
Sikutegemea kama wanasiasa wetu wamekuwa wanafiki mpaka wanakuwa wasahaulifu mapema kiasi hiki,
Mkuu alisema hatashirikisha wapinzani kwenye serikali yake kamwe,
Ajabu kasahau kajisahaulisha au imekuwaje kifupi sielewi,
Kitila juzi tu hapa hata miezi 2 haijapita alikuwa akilalamika Rais anateuwa sana wahadhiri na sasa Kuna upungufu wa wahadhiri, ajabu yeye sijui ni mwalimu wa chekechea au vipi,
Majuzi hapa alikuwa anatokwa povu kwa Rais kwanini hajamtumbua makonda tena akaenda mbali zaidi kuhoji ukaribu wa makonda na Rais una nini?
Sitaki kumzungumzia Zitto kaonyesha unafikia wa Hali ya juu pia, kisa Rais kumteua mkumbo basi amepewa na sifa ya Rais wa kuwaunganisha watanzania Bila kujali vyama vyao,
Jamani sasa mtaniona kwenye michango ya chit chat na MMU
Mods mkiona comment yangu kwenye siasa nipeni BAN
Huu mchezo hauhitaji hasira.....Nimekereka sana toka jana, watu tunatumia bundle zetu ku upload clips zao mitandaoni kumbe njaa tu zinawasumbua
Jana hali ilikua mbaya sana,Zito kaharibu,bungeni hakueleweki,nikajaribu kukimbilia kuangalia mechi ya Man U loh!!! Kuishi hii dunia yataka moyo sanaNimekereka sana toka jana, watu tunatumia bundle zetu ku upload clips zao mitandaoni kumbe njaa tu zinawasumbua
Mkuu babu yangu aliwahi kuniambia kuwa, "baadhi ya wanasiasa wasomi matumbo yao yanaongoza akili zao."
Mkuu....Mkuu huu uzi ndio wa mwisho kuchangia siasa, sijaona kiongozi ambae sio mnafiki sasa nimejiridhisha,