Nimejitoa rasmi kwenye mijadala ya siasa mitandaoni

Kwa hali hii ya watu kususa aliyoyasema magu ya kuusambaratisha upunza kabla ya 2020 yanawezekana
Nashangaa wengi wanashindwa kun'gamua kuwa teuzi hii ni muendelezo wa jitihada za ccm kudhoofisha upinzani from the inside,ilianza kwa slaa,akafuatia lipumba saiz ACT, CUF imeanza kupoteza momentum na credibility iliyoipata katika uchaguzi,propesa ameshakitawanyisha chama,sasa kuna CUF A na CUF B.chadema is next.
 
Reactions: e2n
Kwanza Kitila siyo mpinzani kwa maana ya vyama vya upinzani ni mradi wa ccm kwa kuua vyama vya upinzani, hivyo Kitila ni Ccm na aliyemteua ni Ccm.
 
Kwa nyongeza tu, juzi walimjia juu Rais hakuzingatia jenda ktk viti maalum. Leo wanaambiwa wazingatie genda wanataka kwenda mahakamani, watu walisema nikishindwa uchaguzi naacha siasa leo wanapanga mikakati ya uchaguzi ujao, watu walidai miaka nenda maiaka ludi nanihii fisadi, leo wanasema kama mna ushahidi nendeni mahakamani. Watu walisema serikali lege lege haiweze kukusanya kodi, leo wanasema wafanyabiashara wanaonewa. juzi juzi walidai wanataka rais mchapa kazi, leo dikteta uchwara. Mi nakuunga mkono ndugu yangu siasa ni pasua kichwa, bora umuamini mtoto wa miaka mitatu akisema anaacha kula pipi, kuliko wanasiasa wa bongo land.
 
Mi nauliza akidhoofisha upinzani ndiyo maendeleo tunayoyataka ?!
 
Nilishachukua hayo maamuzi kitambo sana, nafanya mambo yangu [emoji125][emoji125][emoji125]
 
Mi nauliza akidhoofisha upinzani ndiyo maendeleo tunayoyataka ?!
Hicho Sio kipaumbele chao CCM,wangekuwa na nia ya zati ya kutuletea maendeleo ndani ya miaka hamsini ya utawala wao tungekuwa tumeshayapata.wanajua kabisa mtaji wao ni masikini na wasioelimika ,hawa wakipungua basi na wao wamekwisha.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
Na bado mpo wengi kweli...
2020 kaa kumsukuma Mleviii.
Mie Mwenyewe Gia ya angani iliniumagaaaa[emoji36] [emoji36]
 
Mbona hujaongelea waliomshangilia JK bungeni huku wakibubujikwa na machozi ilhali muda wote wa uongozi wake walikuwa wakimkashifu?
 
Ukirudi tena tukufanyeje?
 
tumekuelewa mkuu ila unaonaje hili la kitila kuteuliwa,limekaa poa au halipo sawa. na vipi wabunge kutoa lugha za vijiweni kule mjengoni mkuu
 
Mwenyewe sipendi siasa ila kutokana na kazi ninayoifanya habari za siasa lazima nikutane nazo aisee...ila siasa na yenyewe ni kama drug flani hivi...mfano mimi siipendi CCM,na Chadema wenyewe wanazinguaga ila kuwakacha siwezi mkuu...never say never utarudi tu bro kama ulikua mdau kindaki ndaki
 
Mkuu huu uzi ndio wa mwisho kuchangia siasa, sijaona kiongozi ambae sio mnafiki sasa nimejiridhisha,
Zitto alipokuwa akishutumiwa mitandaoni kuwa msaliti nilimtetea sana, sasa nimethibitisha unafiki wake
Nahisi na mimi ndipo ninapoelekea kuchukua maamuzi hayo, muda ndio utaongea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…