Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi kama wewe mkuu sijawahi kuwa mwanachama wa Chama chochote nchi hii, nimekuwa navutiwa na wanasiasa wanaosimama kutetea Tanzania, mwisho nimegundua hakuna mwanasiasa anaetetea nchi wala nini, kumbe wanatetea matumbo yao tuMwenyewe sipendi siasa ila kutokana na kazi ninayoifanya habari za siasa lazima nikutane nazo aisee...ila siasa na yenyewe ni kama drug flani hivi...mfano mimi siipendi CCM,na Chadema wenyewe wanazinguaga ila kuwakacha siwezi mkuu...never say never utarudi tu bro kama ulikua mdau kindaki ndaki
Ukitaka siasa zisikuumize na wewe kuwa Mnafiki tu.Mkuu huu uzi ndio wa mwisho kuchangia siasa, sijaona kiongozi ambae sio mnafiki sasa nimejiridhisha,
Zitto alipokuwa akishutumiwa mitandaoni kuwa msaliti nilimtetea sana, sasa nimethibitisha unafiki wake
Mkuu mleta Mada ana point...ww cjui kwa nn unamshambulia...yeye kaleta mpaka ushahd wa ku support hoja zake...Simlaumu mleta mada, kazaliwa bongo ambapo hata astronomy museums hakuna, na kuna uwezekano hajasoma chuo au kama kasoma basi sio sayansi na hawajahi fanya publication yoyote ile so anafikiri wanaweza tumia sayansi kutudanganya.
Mtu aliyefanya publication anajua vizuri inavyokaguliwa na kuombwa ku~prove kile anacho~claim, akishindwa inatupiliwa mbali. Kusema Earth is flat karne hii ni plain stupidity hakuna kingine. Wengine hizo article wanapublish kupiga tu hela maana zina wasomaji wengi sana wanaopenda ujinga, its human nature kushindana. Mleta mada kaombe kazi shirika la usafirishaji kupitia baharini ushangae unaenda east unatokea west na kurudi palepale. Kama ni square huko chini sijui ulipitaje.
Mkuu huu uzi ndio wa mwisho kuchangia siasa, sijaona kiongozi ambae sio mnafiki sasa nimejiridhisha,
Zitto alipokuwa akishutumiwa mitandaoni kuwa msaliti nilimtetea sana, sasa nimethibitisha unafiki wake
Binafsi nimekosa cha kuongea,
Siasa zetu zimejaa unafiki kwa kiwango cha PhD,
Sikutegemea kama wanasiasa wetu wamekuwa wanafiki mpaka wanakuwa wasahaulifu mapema kiasi hiki,
Mkuu alisema hatashirikisha wapinzani kwenye serikali yake kamwe,
Ajabu kasahau kajisahaulisha au imekuwaje kifupi sielewi,
Kitila juzi tu hapa hata miezi 2 haijapita alikuwa akilalamika Rais anateuwa sana wahadhiri na sasa Kuna upungufu wa wahadhiri, ajabu yeye sijui ni mwalimu wa chekechea au vipi,
Majuzi hapa alikuwa anatokwa povu kwa Rais kwanini hajamtumbua makonda tena akaenda mbali zaidi kuhoji ukaribu wa makonda na Rais una nini?
Sitaki kumzungumzia Zitto kaonyesha unafikia wa Hali ya juu pia, kisa Rais kumteua mkumbo basi amepewa na sifa ya Rais wa kuwaunganisha watanzania Bila kujali vyama vyao,
Jamani sasa mtaniona kwenye michango ya chit chat na MMU
Mods mkiona comment yangu kwenye siasa nipeni BAN
Mkuu zzto kawaje tena....? Kabla ya kumshambulia zzto jaribu kumshambulia mbowe na team yake ya kumtelekeza slaa...impact ya kitila n ndogo sana kuliko upuuz uliofanywa na mbowe kumleta lowassa cdm na kumpa nafac kubwa kama hyo ndan ya mwez mmoja...think big bro...achana na siasa kabsa kama uko too emotional... Utakufa Bure zile n kaz za watu....Mkuu huu uzi ndio wa mwisho kuchangia siasa, sijaona kiongozi ambae sio mnafiki sasa nimejiridhisha,
Zitto alipokuwa akishutumiwa mitandaoni kuwa msaliti nilimtetea sana, sasa nimethibitisha unafiki wake
Ww ndo mnafk mkubwa kabsa....unataja upuuz tupu...hiv Dr.alikuaje...? Mlimtumia kama chupi Kisha mkamtupa kule Sasa hatujui hata msimamo wa upinzan... Hakir ndogo cku zote huwa n mbaya sana..hiv lowassa alikua n bora kuliko Dr.slaa...? Jaribu kufkr kwa hakr ya kibinadam ungekua ww n Dr.slaa ungefanya nn baada ya kutelekezwa...?Nashangaa wengi wanashindwa kun'gamua kuwa teuzi hii ni muendelezo wa jitihada za ccm kudhoofisha upinzani from the inside,ilianza kwa slaa,akafuatia lipumba saiz ACT, CUF imeanza kupoteza momentum na credibility iliyoipata katika uchaguzi,propesa ameshakitawanyisha chama,sasa kuna CUF A na CUF B.chadema is next.
Nadhani utakuwa member wa muda mrefu pitia michango yangu ya 2015 kuhusu lowassa wala sijawahi kubadilika, niliwaambia wakati ule ni bora uingie vitani na manati yako kuliko kuazima bunduki kwa jiraniMkuu zzto kawaje tena....? Kabla ya kumshambulia zzto jaribu kumshambulia mbowe na team yake ya kumtelekeza slaa...impact ya kitila n ndogo sana kuliko upuuz uliofanywa na mbowe kumleta lowassa cdm na kumpa nafac kubwa kama hyo ndan ya mwez mmoja...think big bro...achana na siasa kabsa kama uko too emotional... Utakufa Bure zile n kaz za watu....