Nimejiuliza kwa sauti, Mheshimiwa kwa wabunge tz ipo kikatiba au ?

Nimejiuliza kwa sauti, Mheshimiwa kwa wabunge tz ipo kikatiba au ?

mbuyake

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2013
Posts
348
Reaction score
633
Kwa jinsi bunge linavyoendeshwa kwa sasa nimejikuta nawaza kwa sauti, kwamba sifa mheshimiwa wapewe vijana wa veta wanaofanya vitu vyenye tija kwa kwa taifa kuliko, waheshimiwa wabunge wanaofanya kila jitihada kuliangamiza taifa kwa kutosimamia wajibu huku tunaendelea kuwapa utukufu.
 
Back
Top Bottom