Nimejiuliza kwanini Banda anaanzia benchi mechi nyingi

Cashman

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2018
Posts
3,017
Reaction score
5,294
Kwanza nikiri timu yangu inahitaji kusajili sana wakati wa dirisha dogo.

Lakini kitu cha kushangaza ni kwa nini Peter Banda anaanzia benchi mechi nyingi?

Nashukuru Mungu leo tayari gepu la point 5 na utopolo na hapo tumeshaaga mbio za ubingwa kabda kama watafuzu makundi leo. Maana wasipofuzu,nguvu zote wanahamishia kwenye ligi.

Watakuwa na muda mzuri wa kupumzika, watatembeza pesa vizuri, watashinda mechi ya raundi ya pili na Simba, watachukua tena kikombe.

Walimu wetu wana nini na wachezaji wa nje?
 
Point tano kivipi?
Yah hata mm nashangaa sana kwanini huwa hachezi first half
 
Ilkua point sawa tofauti ya magoli mkawa kileleni mkashangilia sana, tukawaambia goal difference sio kitu mkasema Yanga ana nongwa, haya 0, 3, 5 (mpaka yanga akishinda) next Mungu ndo anajua.

All in all mechi bado nyingi, mechi 21 ni nyingi sana lolote linaweza kutokea.
 
Ninachojua Simba tuko tayari kupoteza mechi hata mbili tena.
Nina uhakika 99% yanga hatapoteza mechi yoyote hadi anamaliza ligi.Labda tu kama atafuzu kucheza makundi shirikisho ili naye awe na ratiba ngumu.
Vinginevyo hongera kwa ubingwa tena 2022/2023
 
Pia kwenye dirusha dogo utaona Simba wanasajili utopolo mwingine kama Mpole.
Hii Simba sio bure aliyewaroga sijui nani
 
Tuliwaambia mna mechi Leo na Singida nyie akili yenu mnaiwaza Yanga. Sasa Aya ndio mambo ya mshika mawili Moja humponyoka.
Ndo maana huchangii kwenye uzi kule kumbe unaugulia kwa presha muda huu hahhhhhaaa hutaki moja likuponyoke
 
Tuliwaambia mna mechi Leo na Singida nyie akili yenu mnaiwaza Yanga. Sasa Aya ndio mambo ya mshika mawili Moja humponyoka.
Kwamba wakina peter banda ndio jentamycin
Na kibu deni ni asprin wako bize kuwapiga banter utopolo au shida nini ndugu yangu
 
Kwanza nikiri timu yangu inahitaji kusajili sana wakati wa dirisha dogo.

Lakini kitu cha kushangaza ni kwa nini Peter Banda anaanzia benchi mechi nyingi?

Nashukuru Mungu leo tayari gepu la point 5 na utopolo na hapo tumeshaaga mbio za ubingwa kabda kama watafuzu makundi leo. Maana wasipofuzu,nguvu zote wanahamishia kwenye ligi.

Watakuwa na muda mzuri wa kupumzika, watatembeza pesa vizuri, watashinda mechi ya raundi ya pili na Simba, watachukua tena kikombe.

Walimu wetu wana nini na wachezaji wa nje?
Najiukizaga hili swali na mm kila mara yaani banda anaanzia nje afu kibu wa nafasi 10 Mungu alete ya 11 ndipo afunge anaanza nwanzo kabsa.
 
Kwanza nikiri timu yangu inahitaji kusajili sana wakati wa dirisha dogo.

Lakini kitu cha kushangaza ni kwa nini Peter Banda anaanzia benchi mechi nyingi?

Nashukuru Mungu leo tayari gepu la point 5 na utopolo na hapo tumeshaaga mbio za ubingwa kabda kama watafuzu makundi leo. Maana wasipofuzu,nguvu zote wanahamishia kwenye ligi.

Watakuwa na muda mzuri wa kupumzika, watatembeza pesa vizuri, watashinda mechi ya raundi ya pili na Simba, watachukua tena kikombe.

Walimu wetu wana nini na wachezaji wa nje?
Achana na bahasha sie tunacheza mpira. Sio lazima kushinda kila mechi, wacha ligi ichangamke

Sent from my LM-Q730 using JamiiForums mobile app
 
Imeiuwaje mchezaji wetu ametolewa kwenye dakika ya 6?
Screenshot_20230328-162633_FotMob.jpg
 
Kawaida majeruhi ya mwisho alimizwa ligi kuu kama unakumbuka ilikuw kwa maelekezo maalum kutoka upande wa pili baada kuona kasi ya simba kufukuzia lile gepubla point 4 imekuwa kali
Aisee, amekuwa majeruhi wa mara kwa mara
 
Kwanza nikiri timu yangu inahitaji kusajili sana wakati wa dirisha dogo.

Lakini kitu cha kushangaza ni kwa nini Peter Banda anaanzia benchi mechi nyingi?

Nashukuru Mungu leo tayari gepu la point 5 na utopolo na hapo tumeshaaga mbio za ubingwa kabda kama watafuzu makundi leo. Maana wasipofuzu,nguvu zote wanahamishia kwenye ligi.

Watakuwa na muda mzuri wa kupumzika, watatembeza pesa vizuri, watashinda mechi ya raundi ya pili na Simba, watachukua tena kikombe.

Walimu wetu wana nini na wachezaji wa nje?
aliporudi hakuwa fit 100% anahitaji mech fitness - kweli ni mzuri sana.
 
Back
Top Bottom