Jamaa wana kiporo kimoja.Point tano kivipi?
Yah hata mm nashangaa sana kwanini huwa hachezi first half
Ninachojua Simba tuko tayari kupoteza mechi hata mbili tena.Ilkua point sawa tofauti ya magoli mkawa kileleni mkashangilia sana, tukawaambia goal difference sio kitu mkasema Yanga ana nongwa, haya 0, 3, 5 (mpaka yanga akishinda) next Mungu ndo anajua.
All in all mechi bado nyingi, mechi 21 ni nyingi sana lolote linaweza kutokea.
Ndo maana huchangii kwenye uzi kule kumbe unaugulia kwa presha muda huu hahhhhhaaa hutaki moja likuponyokeTuliwaambia mna mechi Leo na Singida nyie akili yenu mnaiwaza Yanga. Sasa Aya ndio mambo ya mshika mawili Moja humponyoka.
Nyie mmedrop mbili leo yanga akishinda mechi yake anawaacha 5Point tano kivipi?
Yah hata mm nashangaa sana kwanini huwa hachezi first half
Kwamba wakina peter banda ndio jentamycinTuliwaambia mna mechi Leo na Singida nyie akili yenu mnaiwaza Yanga. Sasa Aya ndio mambo ya mshika mawili Moja humponyoka.
Najiukizaga hili swali na mm kila mara yaani banda anaanzia nje afu kibu wa nafasi 10 Mungu alete ya 11 ndipo afunge anaanza nwanzo kabsa.Kwanza nikiri timu yangu inahitaji kusajili sana wakati wa dirisha dogo.
Lakini kitu cha kushangaza ni kwa nini Peter Banda anaanzia benchi mechi nyingi?
Nashukuru Mungu leo tayari gepu la point 5 na utopolo na hapo tumeshaaga mbio za ubingwa kabda kama watafuzu makundi leo. Maana wasipofuzu,nguvu zote wanahamishia kwenye ligi.
Watakuwa na muda mzuri wa kupumzika, watatembeza pesa vizuri, watashinda mechi ya raundi ya pili na Simba, watachukua tena kikombe.
Walimu wetu wana nini na wachezaji wa nje?
Achana na bahasha sie tunacheza mpira. Sio lazima kushinda kila mechi, wacha ligi ichangamkeKwanza nikiri timu yangu inahitaji kusajili sana wakati wa dirisha dogo.
Lakini kitu cha kushangaza ni kwa nini Peter Banda anaanzia benchi mechi nyingi?
Nashukuru Mungu leo tayari gepu la point 5 na utopolo na hapo tumeshaaga mbio za ubingwa kabda kama watafuzu makundi leo. Maana wasipofuzu,nguvu zote wanahamishia kwenye ligi.
Watakuwa na muda mzuri wa kupumzika, watatembeza pesa vizuri, watashinda mechi ya raundi ya pili na Simba, watachukua tena kikombe.
Walimu wetu wana nini na wachezaji wa nje?
MajeruhiImeiuwaje mchezaji wetu ametolewa kwenye dakika ya 6?
View attachment 2568805
Aisee, amekuwa majeruhi wa mara kwa maraMajeruhi
Aisee, amekuwa majeruhi wa mara kwa mara
aliporudi hakuwa fit 100% anahitaji mech fitness - kweli ni mzuri sana.Kwanza nikiri timu yangu inahitaji kusajili sana wakati wa dirisha dogo.