MJUMBE WA AMANI
JF-Expert Member
- Aug 26, 2016
- 262
- 238
- Thread starter
-
- #21
Heh! umaarufu nao ni factor? mimi nilidhania uzito wa mada ndio muhimu?certainly!!! they term jf as their source of news, hawataki kuchangia wala kupost chochote, wanakuja kuchota taarifa na kusepa, tena ukute wanafaham majina ya wachangiaji maarufu hapa jf.
Sio lazima iwe hivyo, hata kama ni mtu mmoja lakini yuko na ajenda yake maalum na kuanzisha nyuzi ni sehemu ya hiyo ajenda.Tobah! yaani ID moja inaweza kuwa na watumiaji zaidi ya mmoja? Kweli siasa ni maji taka.
Kuna time nilitaka kuuliza hii issue ila nikahofia 'unoko' ni juu ya kuwa na ID zaidi ya moja.yec ofcoz halafu vilevile humu kuna mambo ya multiple ID usikute JF hatufiki hata laki 2
Kwa njia gani mkuu? kuna utaratibu?Taarifa huwa zinatolewa
hahaaa umaarufu wa mtu huchangiwa zaidi na kiwango cha post anazotoa haijalishi za maana au ni za hovyo, surely kuna wana jf humu wanajulikana sana lakini si kwa kuwa wanachangia sana mada mhimu laikini ni kiwango ( frequency) of posting and replying to the posts/threadsHeh! umaarufu nao ni factor? mimi nilidhania uzito wa mada ndio muhimu?
wahusika humu wanajua sana ila ukiwa na ushahidi wanaunganisha ID inakuwa mojaKuna time nilitaka kuuliza hii issue ila nikahofia 'unoko' ni juu ya kuwa na ID zaidi ya moja.
Members wengine wana shirikije hapa Jamiiforums?
Hili swali limenishangaza sana pale nilipoona kuna members 350k but ukiangalia washiriki ni wale wale.
Kuna majukwaa utaona waanzisha mada ni wale wale
Members wengine wana shirikije hapa Jamiiforums?
Hili swali limenishangaza sana pale nilipoona kuna members 350k but ukiangalia washiriki ni wale wale.
Kuna majukwaa utaona waanzisha mada ni wale wale, sehemu nyingine robo page ni mada za mtu mmoja.Hivi ni kweli kwamba wahusika wengine hawana cha kutushirikisha.
Pili na muhimu, hivi member wa jf akiaga dunia huwa inajulikana.Najua kuna baadhi ya watu wanafahamiana ila tukio kama hilo likitokea taarifa zinaletwaga kwa wahusika waliosalia?
We are living in the technology and information era, so guys let us live the era.
Ni hayo tu wadau.
Hizo taarifa hutolewa na nani?Taarifa huwa zinatolewa
Kua na I'd zaidi ya moja ni dalili ya kutokujiamini, pia kwa yeyote mwenye I'd inayo pita moja lazima kuna vitu visivyo wema anakua anavificha.Kuna time nilitaka kuuliza hii issue ila nikahofia 'unoko' ni juu ya kuwa na ID zaidi ya moja.
Ni kweli mkuu, kujiamini ni jambo jema kwenye maisha ya mtu.Pengine hao ni wale wa nguo nyeusi.Kua na I'd zaidi ya moja ni dalili ya kutokujiamini, pia kwa yeyote mwenye I'd inayo pita moja lazima kuna vitu visivyo wema anakua anavificha.
I'd zaidi ya moja ni utoto, wizi, upuuzi na ujinga uliopita kiwango cha kawaida
Hahahahaa loh! mkuu r.i.p. sasa hivi? umeniota vibaya nini?Mkuu kwa kuwa sio sisi wala wewe ajuaye siku yako rasmi ya kufa basi nichukue fursa hii kukutakia R.I.P as advance just ikitokea umekufa pasi kutag marafiki zako JF!
Sawa mkuu, kimya nacho ni hekima.Hata katika maisha ya kawaida, unakuta kwenye discussion siyo wote waongeaji, wanaoongea ni wale wale, wengine wanasikiliza tu.
Wale waongeaji utakuta hata kama point ishatajwa, na yeye atarudia kuitaja ili mradi aongee.
So hata humu ni hivyo hivyo.
MJUMBE WA AMANI iko hiviMembers wengine wana shirikije hapa Jamiiforums?
Hili swali limenishangaza sana pale nilipoona kuna members 350k but ukiangalia washiriki ni wale wale.
Kuna majukwaa utaona waanzisha mada ni wale wale, sehemu nyingine robo page ni mada za mtu mmoja.Hivi ni kweli kwamba wahusika wengine hawana cha kutushirikisha.
Pili na muhimu, hivi member wa jf akiaga dunia huwa inajulikana.Najua kuna baadhi ya watu wanafahamiana ila tukio kama hilo likitokea taarifa zinaletwaga kwa wahusika waliosalia?
We are living in the technology and information era, so guys let us live the era.
Ni hayo tu wadau.
Kaburi la digital, una maanisha nini?Ni kweli. Lakini sio lazima kila mtu awe mleta mada, wengine tubaki wachangiaji tu. ..
Alaf sehemu yoyote ya social media ni kaburi la digital. ..
Mungu awape pumziko la amani.Nimeshuhudia jamaa kama 3 walikuwa member na wametangulia mbele za haki.Ninahisi taarifa kueleweka mpk uwe na member anayefahamu ID yako ndo atatoa taarifa