Nimejiuliza sana hili swali kuhusiana na Jf

Nimeshuhudia jamaa kama 3 walikuwa member na wametangulia mbele za haki.Ninahisi taarifa kueleweka mpk uwe na member anayefahamu ID yako ndo atatoa taarifa
 
Heh! umaarufu nao ni factor? mimi nilidhania uzito wa mada ndio muhimu?
hahaaa umaarufu wa mtu huchangiwa zaidi na kiwango cha post anazotoa haijalishi za maana au ni za hovyo, surely kuna wana jf humu wanajulikana sana lakini si kwa kuwa wanachangia sana mada mhimu laikini ni kiwango ( frequency) of posting and replying to the posts/threads
 
Ni kweli. Lakini sio lazima kila mtu awe mleta mada, wengine tubaki wachangiaji tu. ..
Alaf sehemu yoyote ya social media ni kaburi la digital. ..
 
Members wengine wana shirikije hapa Jamiiforums?

Hili swali limenishangaza sana pale nilipoona kuna members 350k but ukiangalia washiriki ni wale wale.
Kuna majukwaa utaona waanzisha mada ni wale wale

Hata katika maisha ya kawaida, unakuta kwenye discussion siyo wote waongeaji, wanaoongea ni wale wale, wengine wanasikiliza tu.

Wale waongeaji utakuta hata kama point ishatajwa, na yeye atarudia kuitaja ili mradi aongee.

So hata humu ni hivyo hivyo.
 
Members wengine wana shirikije hapa Jamiiforums?

Hili swali limenishangaza sana pale nilipoona kuna members 350k but ukiangalia washiriki ni wale wale.
Kuna majukwaa utaona waanzisha mada ni wale wale, sehemu nyingine robo page ni mada za mtu mmoja.Hivi ni kweli kwamba wahusika wengine hawana cha kutushirikisha.

Pili na muhimu, hivi member wa jf akiaga dunia huwa inajulikana.Najua kuna baadhi ya watu wanafahamiana ila tukio kama hilo likitokea taarifa zinaletwaga kwa wahusika waliosalia?
We are living in the technology and information era, so guys let us live the era.

Ni hayo tu wadau.

Mkuu kwa kuwa sio sisi wala wewe ajuaye siku yako rasmi ya kufa basi nichukue fursa hii kukutakia R.I.P as advance just ikitokea umekufa pasi kutag marafiki zako JF!
 
Kuna time nilitaka kuuliza hii issue ila nikahofia 'unoko' ni juu ya kuwa na ID zaidi ya moja.
Kua na I'd zaidi ya moja ni dalili ya kutokujiamini, pia kwa yeyote mwenye I'd inayo pita moja lazima kuna vitu visivyo wema anakua anavificha.
I'd zaidi ya moja ni utoto, wizi, upuuzi na ujinga uliopita kiwango cha kawaida
 
Ni kweli mkuu, kujiamini ni jambo jema kwenye maisha ya mtu.Pengine hao ni wale wa nguo nyeusi.
 
Mkuu kwa kuwa sio sisi wala wewe ajuaye siku yako rasmi ya kufa basi nichukue fursa hii kukutakia R.I.P as advance just ikitokea umekufa pasi kutag marafiki zako JF!
Hahahahaa loh! mkuu r.i.p. sasa hivi? umeniota vibaya nini?
 
Hata katika maisha ya kawaida, unakuta kwenye discussion siyo wote waongeaji, wanaoongea ni wale wale, wengine wanasikiliza tu.

Wale waongeaji utakuta hata kama point ishatajwa, na yeye atarudia kuitaja ili mradi aongee.

So hata humu ni hivyo hivyo.
Sawa mkuu, kimya nacho ni hekima.
 
Members wengine wana shirikije hapa Jamiiforums?

Hili swali limenishangaza sana pale nilipoona kuna members 350k but ukiangalia washiriki ni wale wale.
Kuna majukwaa utaona waanzisha mada ni wale wale, sehemu nyingine robo page ni mada za mtu mmoja.Hivi ni kweli kwamba wahusika wengine hawana cha kutushirikisha.

Pili na muhimu, hivi member wa jf akiaga dunia huwa inajulikana.Najua kuna baadhi ya watu wanafahamiana ila tukio kama hilo likitokea taarifa zinaletwaga kwa wahusika waliosalia?
We are living in the technology and information era, so guys let us live the era.

Ni hayo tu wadau.
MJUMBE WA AMANI iko hivi
Pamoja na kwamba kuna members wote hao lakini wamejigawa automatically kutokana na mapenzi yao
-kuna ambao kazi yao ni kuchangia tu
-kuna ambao kazi yao ni kulike tuu
-kuna ambao kazi yao ni kusoma tuu
-kuna ambao kazi yao ni kuanzisha mada tu
Halafu kuna ambao utamkuta kwenye yote hayo hapo juu au baadhi yake
 
Back
Top Bottom