TheGreatASA
JF-Expert Member
- Jun 26, 2014
- 264
- 331
Kuna haja ya kuondoa members hewa wote humu JF.Tobah! ni jambo linalowezekana kabisa Mkuu....Kwa hizi fake IDs siyo ajabu wewe ndiye JPM mwenyewe,....hahahaa Just joking.
Ha ha ha, mbavu zangu mie.
Ha haaa yani wewe
Teh teh...naamini wamekusikia Mkuu.Kuna haja ya kuondoa members hewa wote humu JF.
Mkuu hata mimi nimewahi kujiuliza sana kuhusu ile forum ila sijawahi kupata jibu.....naona ina wafuasi kibao, kama kuna muhusika anijulishe plz.Uliza kwanza kwann kuna"MAKAPUKU FORUM ndo utajua kwann watu hawapend kupost
Sure Mkuu....na kura hawapigi.Hata vyama vya siasa vina wanachama wengi lakini wanao hutubia kwenye jukwaa ni wachache.
Kuna watu wanadharau umu ndan !Mtu akichangia kitu wanaanza kumdis et"kwanza we co Great thinker umejiunga juz tu" yan inaonekana ulichochangia hakina maana kisa we co mkongwe wa jf .Sas huko ni kukatishana tamaa hata mtu akiwa na chakupost anawaz mara mbili aamua kupotezea.Baada ya hapo naona wale ambao hawajabobea jf wakaamua kujiita makapukuMkuu hata mimi nimewahi kujiuliza sana kuhusu ile forum ila sijawahi kupata jibu.....naona ina wafuasi kibao, kama kuna muhusika anijulishe plz.
Lol! kweli umoja ni nguvu na mnyonge hafi kirahisi.....ile ni kati ya thread kuntu sana hapa jf....asante kwa kunijuisha mpendwa.Kuna watu wanadharau umu ndan !Mtu akichangia kitu wanaanza kumdis et"kwanza we co Great thinker umejiunga juz tu" yan inaonekana ulichochangia hakina maana kisa we co mkongwe wa jf .Sas huko ni kukatishana tamaa hata mtu akiwa na chakupost anawaz mara mbili aamua kupotezea.Baada ya hapo naona wale ambao hawajabobea jf wakaamua kujiita makapuku
Umenena vyema mkuuMembers wengine wana shirikije hapa Jamiiforums?
Hili swali limenishangaza sana pale nilipoona kuna members 350k but ukiangalia washiriki ni wale wale.
Kuna majukwaa utaona waanzisha mada ni wale wale, sehemu nyingine robo page ni mada za mtu mmoja.Hivi ni kweli kwamba wahusika wengine hawana cha kutushirikisha.
Pili na muhimu, hivi member wa jf akiaga dunia huwa inajulikana.Najua kuna baadhi ya watu wanafahamiana ila tukio kama hilo likitokea taarifa zinaletwaga kwa wahusika waliosalia?
We are living in the technology and information era, so guys let us live the era.
Ni hayo tu wadau.
Bungeni kuna wachangiaji na wasio wachangiaji, umeelewa sasa bila shaka boss.Sijaelewa Mkuu....ila signature yako inahusiana vizuri sana na hii mada....Bravo for it.
HaswaaaHeh! bila shaka hao ni wale wazee wa multiple IDs....lazima uputeze memory.
Duu!!kwa hiyo unataka kuniaminisha kuwa hao ambaao hawachangiagi humu na wako hai!!ina maana ni wafu??eee wee ndo unamaanisha hivyo sio!!![emoji3] [emoji3] [emoji3]Akifa hutomuona akichangia humu
Mh! hayo yatuepuke....ubaguzi hauna maana kabisa.Kuna dhambi ya ubaguzi na utengano inaanza kutafuna jf,wengine makapuku,wengine wakongwe nk! Hii si sawaaa