Nimejiuliza sana hili swali kuhusiana na Jf

Nimejiuliza sana hili swali kuhusiana na Jf

Hata vyama vya siasa vina wanachama wengi lakini wanao hutubia kwenye jukwaa ni wachache.
 
Uliza kwanza kwann kuna"MAKAPUKU FORUM ndo utajua kwann watu hawapend kupost
 
Uliza kwanza kwann kuna"MAKAPUKU FORUM ndo utajua kwann watu hawapend kupost
Mkuu hata mimi nimewahi kujiuliza sana kuhusu ile forum ila sijawahi kupata jibu.....naona ina wafuasi kibao, kama kuna muhusika anijulishe plz.
 
Mkuu hata mimi nimewahi kujiuliza sana kuhusu ile forum ila sijawahi kupata jibu.....naona ina wafuasi kibao, kama kuna muhusika anijulishe plz.
Kuna watu wanadharau umu ndan !Mtu akichangia kitu wanaanza kumdis et"kwanza we co Great thinker umejiunga juz tu" yan inaonekana ulichochangia hakina maana kisa we co mkongwe wa jf .Sas huko ni kukatishana tamaa hata mtu akiwa na chakupost anawaz mara mbili aamua kupotezea.Baada ya hapo naona wale ambao hawajabobea jf wakaamua kujiita makapuku
 
Lol! kweli umoja ni nguvu na mnyonge hafi kirahisi.....ile ni kati ya thread kuntu sana hapa jf....asante kwa kunijuisha mpendwa.
 
Members wengine wana shirikije hapa Jamiiforums?

Hili swali limenishangaza sana pale nilipoona kuna members 350k but ukiangalia washiriki ni wale wale.
Kuna majukwaa utaona waanzisha mada ni wale wale, sehemu nyingine robo page ni mada za mtu mmoja.Hivi ni kweli kwamba wahusika wengine hawana cha kutushirikisha.

Pili na muhimu, hivi member wa jf akiaga dunia huwa inajulikana.Najua kuna baadhi ya watu wanafahamiana ila tukio kama hilo likitokea taarifa zinaletwaga kwa wahusika waliosalia?
We are living in the technology and information era, so guys let us live the era.

Ni hayo tu wadau.
Umenena vyema mkuu
 
Kuna dhambi ya ubaguzi na utengano inaanza kutafuna jf,wengine makapuku,wengine wakongwe nk! Hii si sawaaa
 
Back
Top Bottom