Nimejiunga JF tarehe 01/12/2020 naenjoy Sana

Nimejiunga JF tarehe 01/12/2020 naenjoy Sana

Karibu JF, the only place where we used to talk openly. Things are no longer the same
 
Nakuuliza swali kuna vimbwenga vinadai chadema ni ya wachaga ni kweli ? Mimi ni muha wa kigoma kwa sasa niko GREEN CITY MBEYA
 
Mkubwa ni hivi ..Jf ndo best social media app ..kwa watu wanaopenda kujifunza...
 
Nakuuliza swali kuna vimbwenga vinadai chadema ni ya wachaga ni kweli ? Mimi ni muha wa kigoma kwa sasa niko GREEN CITY MBEYA
Hapana ni chama cha watu wote ndio maana kwenye mgawanyo wa madaraka viongozi mbali mbali sio wachaga mfano Antipas Lissu, Mnyika na wengine
 
Back
Top Bottom