Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Au unaeza kuta huyo jamaa Ni wewe..who knows?Unaeza kuta jamaa kaeka picha feki na jina feki. Hapo sijui kati ya yeye na wanaoponda mshamba nani
Sent using Jamii Forums mobile app
Hongera saana... Haya pitia soda hapo mezani umsubiri mshana akupe maelekezo namna utakavyojutia maamuzi yako ya kujiposti punde baada ya kuwa mwenyeji.Naitwa Sadick
Nipo Kigoma
Nimeipenda sana hii familia ya JF ndiyo maana Leo nimejiunga naombeni ushirikiano wetu ili tuweze kupeana maarifaView attachment 1369175
Sent using Jamii Forums mobile app