nimejiunga nanyi

nimejiunga nanyi

served

Senior Member
Joined
Nov 6, 2013
Posts
164
Reaction score
54
naitwa served nna miaka 26 mama wa mtoto, 1 na mke wa mume mmoja. nimevutiwa sana hili jamvi,nipo ili kulisukuma hili gurudumu kimawazo na kifkra asanteni naamini mtanipokea.
 
Karibu sana!
 
Karibu sana,,,, mama nani vile...?
 
naitwa served nna miaka 26 mama wa mtoto, 1 na mke wa mume mmoja. nimevutiwa sana hili jamvi,nipo ili kulisukuma hili gurudumu kimawazo na kifkra asanteni naamini mtanipokea.

Karibu sana mama G
 
naitwa served nna miaka 26 mama wa mtoto, 1 na mke wa mume mmoja. nimevutiwa sana hili jamvi,nipo ili kulisukuma hili gurudumu kimawazo na kifkra asanteni naamini mtanipokea.

Haya karibu...karibu ukae,unakunywa kinywaji gani!....niambie za utokako?mtoto hajambo,na baba'ake je!wote wazima?aaya nashkuru kama wote wazima,sasaa endelea kumalizia kinywaji ngoja me niingie kwanza jikoni kuandaa chochote tule,jamani nimefrahije kukuonaa!!!ooh nimejisahau!!karibu jamvini ukiona palipokukwaza usisite kuuliza usaidiwe watu wa humu ni wema tu usiogope.!!!karibu.
 
Karibu , japo umeanza kwa kuweka fance
 
ha ha haaaaaaa nimewapenda naitwa mama B
 
karibu served mke wa mume mmoja....
 
Last edited by a moderator:
Hapo kwa mume mmoja ukaweka na nukta nmepapenda..karibu sana
 
Back
Top Bottom