Nimejiunga rasmi JF na mimi hatimaye

Nimejiunga rasmi JF na mimi hatimaye

supatolu

Senior Member
Joined
Aug 7, 2022
Posts
140
Reaction score
189
Nimekuwa mfuatiliaji wa JF kitambo. Na kiukweli nimejifunza mengi nimeburudika na nimeona umuhimu wa kushiriki kama member.

Hatimaye leo nimefanikiwa . Naomba mnipokee wana JF hasa GTs. Mungu ibariki JF.
 
Welcome!
 
Back
Top Bottom