ErickjrJunior
JF-Expert Member
- May 9, 2015
- 328
- 78
Toka Miaka Ya Nyuma Naikubal JF Ila Sikua Member......Kuna Muda Nilikua Nikijiunga Aileti Majibu!! This Time Iwon!!!!! Naomba Kukaribishwa Na Members Wenyeji.........
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante Ndugu....Ila Ungejua Sipendi Hiyo Kitu.....Nachukia Mtu Akitumia X Badala Ya S Au Mtu Anitumie Msg Aanze Na Neno 'Oya' Sipendii.......Karibu sana..ila usiandike kifacebook humu...zile xaxa badala ya sasa huku hapana!
Karibu sana..ila usiandike kifacebook humu...zile xaxa badala ya sasa huku hapana!
Mkuu hizi tabia za hawa watoto wanaona sifa wakati ni upumbavu tu.
Mdogo wangu alinipa taabu kumrekebisha maana alikua akinitext simjibu kabisa, hadi sasa kanyooka tena anawaona wale wenzie wanaotumia hizo xaxa zao wajinga.
Toka Miaka Ya Nyuma Naikubal JF Ila Sikua Member......Kuna Muda Nilikua Nikijiunga Aileti Majibu!! This Time Iwon!!!!! Naomba Kukaribishwa Na Members Wenyeji.........
Karibu ndugu
Karibu!
Lakini zingatia uandishi wako. Uwe unamalizia maneno mfano..
Naikubal=Naikubali
Aileti=Haileti.
Toka Miaka Ya Nyuma Naikubal JF Ila Sikua Member......Kuna Muda Nilikua Nikijiunga Aileti Majibu!! This Time Iwon!!!!! Naomba Kukaribishwa Na Members Wenyeji.........
Nami pia natangaza kujiunga rasmi na JF, nawaombeni mnipe tyusheni kwa lolote mtakaloona nakosea kwa kutojua. Nimegundua ni mengi.
Eid Mubarak.