Jaribu kutafuta ujue na mama yako anafanya kazi gani?
Dah...Kwani nawe umegundua kazi ya dingi yako?[emoji2960]Nipe location nimchomee kwa dingi angu wamtimbie
Duuh aisee!!Nipe location nimchomee kwa dingi angu wamtimbie
Umegunduaje sasa? Au umekuta miguu ya kuku na mimaskiBaada ya kusomeshwa from primary mpaka chuo bila kujua mzee ana kazi gani
Mzee alikuwa mtu wa safari sana na aliniambia zilikuwa safari za makampuni kama UNDP n.k
Lakini hii likizo nimejaribu kufuatilia kwakuwa nimeshakua na nimegundua baba yangu ni jambazi
2016 ndio aliniambiaDah...Kwani nawe umegundua kazi ya dingi yako?[emoji2960]
Kaa kimya mwanangu.Baada ya kusomeshwa from primary mpaka chuo bila kujua mzee ana kazi gani
Mzee alikuwa mtu wa safari sana na aliniambia zilikuwa safari za makampuni kama UNDP n.k
Lakini hii likizo nimejaribu kufuatilia kwakuwa nimeshakua na nimegundua baba yangu ni jambazi
Dah...siyo hiyo..nilikudanganya banaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]2016 ndio aliniambia