Nimejua kazi ya baba yangu

Nimejua kazi ya baba yangu

Citizen B

JF-Expert Member
Joined
May 13, 2019
Posts
6,681
Reaction score
9,084
Baada ya kusomeshwa from primary mpaka chuo bila kujua mzee ana kazi gani
Mzee alikuwa mtu wa safari sana na aliniambia zilikuwa safari za makampuni kama UNDP n.k

Lakini hii likizo nimejaribu kufuatilia kwakuwa nimeshakua na nimegundua baba yangu ni jambazi
 
Umegunduaje sasa? Au umekuta miguu ya kuku na mimaski
 
Umemuuliza mama? Mama ana furaha anapokuwa na baba sebuleni au muda mwingi amenuna?
 
Baada ya kusomeshwa from primary mpaka chuo bila kujua mzee ana kazi gani
Mzee alikuwa mtu wa safari sana na aliniambia zilikuwa safari za makampuni kama UNDP n.k
Lakini hii likizo nimejaribu kufuatilia kwakuwa nimeshakua na nimegundua baba yangu ni jambazi
Kaa kimya mwanangu.
 
Back
Top Bottom