Nimekaa kwenye mahusiano miezi 7 na mtu ambaye sikudhania

Nimekaa kwenye mahusiano miezi 7 na mtu ambaye sikudhania

Malizia hapa. Wanadau wanataka kujua..

Je, mlikulana? Basi na story iishie hapo.. Mengine tutajiongeza..
 
Nlipigwa na butwaa Kwanzaa, nkamuambia ndio wewe akanambia hunijui kwani? Nkasema nmeshakukumbuka ila umebadilika dear moyoni nkijua kabisa sio yeye. Nlijiadjust tu story nyingi huku furaha ya kupindukia nlikuwa nayo. Ila tulikaa nae baada ya kuzoeana nlimueleza kisa chote akabak anatabasamu tu. Ila alikiri kuwa hata yeye alipata waswas nyuma kwa kuwa aligundua kama nlimchanganya. But haikuwa suala kwake maana alinipenda pia
Kama nakuona stimu ilivyokata baada ya kugundua ulichanganya mafile! Pole sana mkuu
Kwahyo mkaanzisha mahusiano au ndio mkaishia hapo?
 
Kahawa
JamiiForums-1851313687.gif
 
Back
Top Bottom