Nimekaa muda mrefu bila mahusiano ila sasa kuna mwanaume ananitaka na mimi sijavutiwa naye

Ma BOBO

Member
Joined
Jul 11, 2021
Posts
57
Reaction score
92
Jamani nifanyeje na Mimi nataka kutulia na mwanaume wangu ambaye hajulikani nilikuwa na mwanaume ambaye alijitambulisha hadi nyumbani.

Lakini badae akaanza kuninyanyasa kimapenzi kunisaliti na kuitoa tu thamani yangu akaniona simfai, sasa kuna mwanaume anaonesha dalili ya kuwa na mimi ila mi binafsi roho haijampenda nifanyeje na ninatamani kuwa na mwanaume saizi....

Yeye kapanda sana halafu mnene sasa Mimi uwa napenda mwanaume ambaye yuko simple simple ili tuendane Mimi sio mrefu sio mfupi maji ya kunde, yeye mweupe mnene amepanda juu........

Naombeni ushauri unajua kuna urefu ambao unavutia ila urefu wa uyu naona ni mngongoti sio msukuma ata ila basi tu nature yake.
 
Achana na huyo tall atakuumiza tena.

Angalia kwenye chain ya wanaume wanaokutaka lazima kuna mmoja atakua na vigezo unavyotaka vya muonekano wa mwanaume, sasa mchunguze zaidi ukiona anakufaa mpe penzi mama usije kufa na utamu bure, ulipewa bure toa bure.

Jambo la pili,najua wanawake mnaongozwa na hisia ila jaribu tu kutumia akili kidogo kwenye mahusiano, tafta ama angalia mwanaume anaekupenda wewe zaidi kuliko unavyompenda wewe, mahusiano yako yatadumu na utayafurahia kwa sababu ili mahusiano yoyote yaweze kudumu, mwanaume awe ndie anayahitaji zaidi kuliko mwanamke vinginevyo yatajirudia ya huyo jamaa wa kwanza uliemsema.

Kila la heri.
 
Jamani nifanyeje na Mimi nataka kutulia na mwanaume wangu ambaye hajulikani nilikuwa na mwanaume ambaye alijitambulisha hadi nyumbani.

Lakini badae akaanza kuninyanyasa kimapenzi kunisaliti na kuitoa tu thamani yangu akaniona simfai, sasa kuna mwanaume anaonesha dalili ya kuwa na mimi ila mi binafsi roho haijampenda nifanyeje na ninatamani kuwa na mwanaume saizi....

Eye kapanda sana alafu mnene sasa Mimi uwa napenda mwanaume ambaye yuko simple simple ili tuendane Mimi sio mrefu sio mfupi maji ya kunde,yeye mweupe mnene amepanda juu........Naombeni ushauri unajua kuna urefu ambao unavutia ila urefu wa uyu naona ni mngongoti sio msukuma ata ila basi tu nature yake
Njoo pm dada nikushauri jambo la muhimu hutojuta.
 
Jamani nifanyeje na Mimi nataka kutulia na mwanaume wangu ambaye hajulikani nilikuwa na mwanaume ambaye alijitambulisha hadi nyumbani.

Lakini badae akaanza kuninyanyasa kimapenzi kunisaliti na kuitoa tu thamani yangu akaniona simfai, sasa kuna mwanaume anaonesha dalili ya kuwa na mimi ila mi binafsi roho haijampenda nifanyeje na ninatamani kuwa na mwanaume saizi....

Yeye kapanda sana halafu mnene sasa Mimi uwa napenda mwanaume ambaye yuko simple simple ili tuendane Mimi sio mrefu sio mfupi maji ya kunde, yeye mweupe mnene amepanda juu........

Naombeni ushauri unajua kuna urefu ambao unavutia ila urefu wa uyu naona ni mngongoti sio msukuma ata ila basi tu nature yake.

Ushauri gani unataka? Ndo maana Mnafeli, unajua hakidhi vigezo then unataka ushauri?

Tafuta anayekidhi matamanio yako na Sio vinginevyo! Maana kama hupendi alivyo mwishowe utashindwa! That simple
 
Jamani nifanyeje na Mimi nataka kutulia na mwanaume wangu ambaye hajulikani nilikuwa na mwanaume ambaye alijitambulisha hadi nyumbani.

Lakini badae akaanza kuninyanyasa kimapenzi kunisaliti na kuitoa tu thamani yangu akaniona simfai, sasa kuna mwanaume anaonesha dalili ya kuwa na mimi ila mi binafsi roho haijampenda nifanyeje na ninatamani kuwa na mwanaume saizi....

Yeye kapanda sana halafu mnene sasa Mimi uwa napenda mwanaume ambaye yuko simple simple ili tuendane Mimi sio mrefu sio mfupi maji ya kunde, yeye mweupe mnene amepanda juu........

Naombeni ushauri unajua kuna urefu ambao unavutia ila urefu wa uyu naona ni mngongoti sio msukuma ata ila basi tu nature yake.
Ma bobo kama ma bobo wewe ni mwenyeji wa ruvuma kama ndio njoo pm.
 
Endelea kubana mbunye, sio kila atajayesema na kura BWANA, BWANA atalanta ukiwa wa milele
 
Jamani nifanyeje na Mimi nataka kutulia na mwanaume wangu ambaye hajulikani nilikuwa na mwanaume ambaye alijitambulisha hadi nyumbani.

Lakini badae akaanza kuninyanyasa kimapenzi kunisaliti na kuitoa tu thamani yangu akaniona simfai, sasa kuna mwanaume anaonesha dalili ya kuwa na mimi ila mi binafsi roho haijampenda nifanyeje na ninatamani kuwa na mwanaume saizi....

Yeye kapanda sana halafu mnene sasa Mimi uwa napenda mwanaume ambaye yuko simple simple ili tuendane Mimi sio mrefu sio mfupi maji ya kunde, yeye mweupe mnene amepanda juu........

Naombeni ushauri unajua kuna urefu ambao unavutia ila urefu wa uyu naona ni mngongoti sio msukuma ata ila basi tu nature yake.
Wewe ni mbilikimo bwana acha longolongo
 
Mi niko tofauti sana na huyo jamaa yako.sifa zote unazotaka ninazo.nitumie nauli nije tuonane
 
Mkubalie tu awe anaipasha moto wakati ukiangalia angalia mnayeendana naye 😜😜😜
Jamani nifanyeje na Mimi nataka kutulia na mwanaume wangu ambaye hajulikani nilikuwa na mwanaume ambaye alijitambulisha hadi nyumbani.

Lakini badae akaanza kuninyanyasa kimapenzi kunisaliti na kuitoa tu thamani yangu akaniona simfai, sasa kuna mwanaume anaonesha dalili ya kuwa na mimi ila mi binafsi roho haijampenda nifanyeje na ninatamani kuwa na mwanaume saizi....

Yeye kapanda sana halafu mnene sasa Mimi uwa napenda mwanaume ambaye yuko simple simple ili tuendane Mimi sio mrefu sio mfupi maji ya kunde, yeye mweupe mnene amepanda juu........

Naombeni ushauri unajua kuna urefu ambao unavutia ila urefu wa uyu naona ni mngongoti sio msukuma ata ila basi tu nature yake.
 
Mbona waonesha hata hujui wataka nini!

Kumpenda humpendi, lakini bado wataka ushauriwe jambo la kufanya...

Mabazazi wa jeiefu, mbuzi huyoooo anakata roho mnapouzia supu....
 
Inawezekana ww ni mmoja wa wale wagalatia wasio na akili.. unless uwe umeleta tangazo kijanja.
 
Jamani nifanyeje na Mimi nataka kutulia na mwanaume wangu ambaye hajulikani nilikuwa na mwanaume ambaye alijitambulisha hadi nyumbani.

Lakini badae akaanza kuninyanyasa kimapenzi kunisaliti na kuitoa tu thamani yangu akaniona simfai, sasa kuna mwanaume anaonesha dalili ya kuwa na mimi ila mi binafsi roho haijampenda nifanyeje na ninatamani kuwa na mwanaume saizi....

Yeye kapanda sana halafu mnene sasa Mimi uwa napenda mwanaume ambaye yuko simple simple ili tuendane Mimi sio mrefu sio mfupi maji ya kunde, yeye mweupe mnene amepanda juu........

Naombeni ushauri unajua kuna urefu ambao unavutia ila urefu wa uyu naona ni mngongoti sio msukuma ata ila basi tu nature yake.
Mkate miguu muende sawa
 
Back
Top Bottom