Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ushauri wangu kwako ni huu,ufate moyo wako unavyosema.Jamani nifanyeje na Mimi nataka kutulia na mwanaume wangu ambaye hajulikani nilikuwa na mwanaume ambaye alijitambulisha hadi nyumbani.
Lakini badae akaanza kuninyanyasa kimapenzi kunisaliti na kuitoa tu thamani yangu akaniona simfai, sasa kuna mwanaume anaonesha dalili ya kuwa na
Hahahahahahahahaha apashe moto kwani ni kiporo hicho?Mkubalie tu awe anaipasha moto wakati ukiangalia angalia mnayeendana naye 😜😜😜
Jamani nifanyeje na Mimi nataka kutulia na mwanaume wangu ambaye hajulikani nilikuwa na mwanaume ambaye alijitambulisha hadi nyumbani.
Lakini badae akaanza kuninyanyasa kimapenzi kunisaliti na kuitoa tu thamani yangu akaniona simfai, sasa kuna mwanaume anaonesha dalili ya kuwa na mimi ila mi binafsi roho haijampenda nifanyeje na ninatamani kuwa na mwanaume saizi....
Yeye kapanda sana halafu mnene sasa Mimi uwa napenda mwanaume ambaye yuko simple simple ili tuendane Mimi sio mrefu sio mfupi maji ya kunde, yeye mweupe mnene amepanda juu........
Naombeni ushauri unajua kuna urefu ambao unavutia ila urefu wa uyu naona ni mngongoti sio msukuma ata ila basi tu nature yake.