Nimekaa muda mrefu bila mahusiano ila sasa kuna mwanaume ananitaka na mimi sijavutiwa naye

Ila dah!
Sijalazimishwa kuwepo hapa,
Acha tu nikutane na nayokutana nayo.
 
Ushauri wangu kwako ni huu,ufate moyo wako unavyosema.
 
Wanawake siku mkija kupata akili, mtakuta mna makovu na sugu zisizofutika kwenye via vyenu vya uzazi
 
Njoo kwangu, umenitamanisha kwenye Ile post yako na lecturer kwenye ule Uzi pendwa [emoji7]
 
Kupenda ni kazi ya mwanaume, kuheshimu na kutii ni kazi ya mwanamke.

Hakuna sehemu katika vitabu vya MUNGU wamesema wanawake wapendeni wanaume zenu na ninyi wanaume watiini na kuwaheshimu wake zenu.

Naona mabinti siku hizi mnafanya kila kitu kinyume ndio maana na ninyi maisha yanawapa matokeo kinyume.
 
Yule lecturer ameishia wapi?
 
Nijaribu mii hutajuta,mapenzi na heshima vyote utapata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…