Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,855
- 189,385
Ilo usihofuNtumie nauli dear
nipe njia ambayo utakuwa comfortable hiyo nauli ikufikie
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ilo usihofuNtumie nauli dear
Mzigua90 njoo haraka pm mama
Unaonaje mkiunganisha nyoyo zenu wewe na Mzigua90 ili mbebishane badala ya kuwaonea wivu wenzenu?Yani hili tatizo linanisumbua ni miezi 3 ss na nashindwa nifanye nn?
njoo PM mkuu mimi mwenyew nipo singleKukaa single muda mrefu kunaleta karoho Fulani ka Husda hivi. Hii kapo naionea wivu live. Inanikumbusha enzi Niko in love na my college sweetheart.
Haki kubebishana kwao kumenifanya nigutuke nachokimiss kwa kutokua na Bebe.
okay sawaKukaa single muda mrefu kunaleta karoho Fulani ka Husda hivi. Hii kapo naionea wivu live. Inanikumbusha enzi Niko in love na my college sweetheart.
Haki kubebishana kwao kumenifanya nigutuke nachokimiss kwa kutokua na Bebe.
Nimekuelewa vzr sana!Kukaa single muda mrefu kunaleta karoho Fulani ka Husda hivi. Hii kapo naionea wivu live. Inanikumbusha enzi Niko in love na my college sweetheart.
Haki kubebishana kwao kumenifanya nigutuke nachokimiss kwa kutokua na Bebe.
Mi mambo ya kupeana ilani naona ka yako kiazimio LA Arusha
Shikamoo
Hii sentensi ina maana kuntu sana...Hahahahahaaa. Niko single kwenye moyo sio kwenye mwili mkuu.
Haka kauzi katasaidia sana sisi waviziaji kujua wachuchu singo ili tukamate fursa kama mwewe....Rafiki na chura lote hilo bado unakuwa single?!......I don't want to be a lonely fool!
Shem wangu Sky anayajua yote haya?Haka kauzi katasaidia sana sisi waviziaji kujua wachuchu singo ili tukamate fursa kama mwewe....
Kwenye mwili upo na yule wa JF ambae hata chura yako haithamini!Hahahahahaaa. Niko single kwenye moyo sio kwenye mwili mkuu.