Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Uzi umevamiwa tayari!For Promotional Use Only. Strictly Not For Sale.
Kwa lugha nzuri unaitwa broken ass!Sina hela tatizo
Ila sawa tutafika tu [emoji848]
ungeniitamoo japo kwa mkopoo tujiachieagee na sisi [emoji21] [emoji21] [emoji21]Kukaa single muda mrefu kunaleta karoho Fulani ka Husda hivi. Hii kapo naionea wivu live. Inanikumbusha enzi Niko in love na my college sweetheart.
Haki kubebishana kwao kumenifanya nigutuke nachokimiss kwa kutokua na Bebe.
Ushaanza kuleta uchochezi sasa... mambo ya wanaume yanapaswa kubakia siri yetu wanaume.Shem wangu Sky anayajua yote haya?
Haha inamaana uliyenae yupo mbali na upeo wa macho yakoHahahahahaaa. Mimi Niko single but not single single
Hii chaiKukaa single muda mrefu kunaleta karoho Fulani ka Husda hivi. Hii kapo naionea wivu live. Inanikumbusha enzi Niko in love na my college sweetheart.
Haki kubebishana kwao kumenifanya nigutuke nachokimiss kwa kutokua na Bebe.
Ungana na mleta mada ili muwe couple za mfanoYani hili tatizo linanisumbua ni miezi 3 ss na nashindwa nifanye nn?
Yanapaswa kubakia siri hata kama ni maovu?Ushaanza kuleta uchochezi sasa... mambo ya wanaume yanapaswa kubakia siri yetu wanaume.
Me nakutaka na uzee wangu!!! Niite baby roho yangu ipone tafadhaliJamani
Ndio umeamua kunirudishia shikamoo yangu we mzee
Naona MAKALIO yanakuwasha mkuuKwa lugha nzuri unaitwa broken ass!
Alinichukulia demu wangu kizembe. Afu Shunie take care, sina budget ya kununua Nguo. Ukiniita baby ujue nanenepa ghaflaLeo tena hutaki kumsikia baby si swahiba wako huyo