Ingewezekna ningechangamkia fursa.Hahahahahaaa
Hahahahahaaa... Usikubali mwaya
Sasa si mimi hapa unaniletea kauzibe,njoo nikupe mambo.Kukaa single muda mrefu kunaleta karoho Fulani ka Husda hivi. Hii kapo naionea wivu live. Inanikumbusha enzi Niko in love na my college sweetheart.
Haki kubebishana kwao kumenifanya nigutuke nachokimiss kwa kutokua na Bebe.
Bahati ilioje hii nadhani maombolezo yatakua poa sana leo, fanya unipm contact nitumie fursa chap mkuu.Sawa mkuu
hahahhahah!! wengi watakuja na maneno mazuri..jitahidi kureview vizur wapite katika mchujo mkali..!! usisahau kuleta mrejeshoNgoja nireview maombi yote sasa hivi