Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,223
- 96,083
Tulia basi wewe...Babu kwani Bibi yuko wapi??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tulia basi wewe...Babu kwani Bibi yuko wapi??
Ewaaa sasa ushaanza kupata akiliYanapaswa kubakia siri hata kama ni maovu?
Wapi??
Umeamua kumfungulia IDmpya kabisa?Usiwaze sana upendaye MUNGU ananwandaa kwaajili yako kikubwa kuji heshimu nakumpenda MUNGU ili wakati anasema nawewe upate kuisikia saut yake amenView attachment 876054
Mkuu si useme tu unatafuta kabeibe ili masingos watume maombi kwako? Naona concern yako umeitoa kwa njia ya kisanaa kabisa na hadhira yako imekupata vyema. Subiria majiibu PM.Kukaa single muda mrefu kunaleta karoho Fulani ka Husda hivi. Hii kapo naionea wivu live. Inanikumbusha enzi Niko in love na my college sweetheart.
Haki kubebishana kwao kumenifanya nigutuke nachokimiss kwa kutokua na Bebe.
Una hamu ya kurogwa wewe mzee wanguAkili za kuambiwa changanya na za mbayuwayu afu kam zis wei bebii
Nasikia unafunga sana PMKukaa single muda mrefu kunaleta karoho Fulani ka Husda hivi. Hii kapo naionea wivu live. Inanikumbusha enzi Niko in love na my college sweetheart.
Haki kubebishana kwao kumenifanya nigutuke nachokimiss kwa kutokua na Bebe.
watu hawafaham unaeza ukawa hata na watu 10,na unashirik tendo, but deep inside u,it feels like bado uko singo,..mim nilichokuja gundua ni kwamba mapenz,ya kwel yale ya kudata ni ya school,i mean kipind mko wadogo hiv,chuo sana sana,kipind hik ndo hua kina true lv,women do hav free minds here,yaan hawaangalii unahela au huna,..coz kipind cha shule u r all considered broke...hapo ndo kama unakuta dem kapenda kapenda na kama unakuta boy kapenda kapenda,so kama mtaachana na huyo mtu,aisee kupataga mwingne utu uzimani hua ni ngum kinoma..Eeeh. Ajabu eeh
Tangazo limeeleweka. Watakuja PMKukaa single muda mrefu kunaleta karoho Fulani ka Husda hivi. Hii kapo naionea wivu live. Inanikumbusha enzi Niko in love na my college sweetheart.
Haki kubebishana kwao kumenifanya nigutuke nachokimiss kwa kutokua na Bebe.
Sangoma anarogeka??Una hamu ya kurogwa wewe mzee wangu
Keep calm & waitSangoma anarogeka??