Kutoka kwa mvuvi kama mimiKutoka wapi?
U have long way to go.....Mmmh. Napenda kupenda achana na kupendwa maana hiyo ipo
Hakuna ubaya kupenda,its human nature. Kwahio tangu 'ukue' hujapata wa kumpenda hadi leo? Au unaowapenda hawakupendi?Niombeeni niache huu ujinga wa kupenda. Unanicost Sana ila sikomi
Kupenda sio ujinga,tatizo unapenda nini na kwanini ?Niombeeni niache huu ujinga wa kupenda. Unanicost Sana ila sikomi
Chukua tu mamaa si unajuaga wew ndio my weaknessNa Mimi nakunywa Heineken boo
Za mwanzo malizia pm haraka mama usije ukapishana na gari la mshahara mwisho wa mwezi357281 hapo
katika ubora wako wa kutathimini na kuchambua chura za jfRafiki na chura lote hilo bado unakuwa single?!......I don't want to be a lonely fool!
Yani my dada hadi naona aibu kusema.labda nije huko sirini ndo niseme
Mscheeeww. Mi sichagui ni moyo tu ndugu yangu. Mchanga naona hanielewi tena
Experience from a Veteran!Anza kutumia ubongo na si moyo kwenye maamuzi ya mapenzi. Watoto 15-25 waache watumie moyo, akili ikikua unatumia ubongo badala ya hisia(moyo).
Usiache, it takes a heart to win a heart. Alafu naonaga kama heartbreaks ni experience muhimu itayokufaa huko baadae.Niombeeni niache huu ujinga wa kupenda. Unanicost Sana ila sikomi