Nimekaa na Couple Inabebishana Hadi Naona Wivu

Usiwaze sana upendaye MUNGU ananwandaa kwaajili yako kikubwa kuji heshimu nakumpenda MUNGU ili wakati anasema nawewe upate kuisikia saut yake amen
 
Kukaa single muda mrefu kunaleta karoho Fulani ka Husda hivi. Hii kapo naionea wivu live. Inanikumbusha enzi Niko in love na my college sweetheart.
Haki kubebishana kwao kumenifanya nigutuke nachokimiss kwa kutokua na Bebe.
Mkuu si useme tu unatafuta kabeibe ili masingos watume maombi kwako? Naona concern yako umeitoa kwa njia ya kisanaa kabisa na hadhira yako imekupata vyema. Subiria majiibu PM.

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
 
Kukaa single muda mrefu kunaleta karoho Fulani ka Husda hivi. Hii kapo naionea wivu live. Inanikumbusha enzi Niko in love na my college sweetheart.
Haki kubebishana kwao kumenifanya nigutuke nachokimiss kwa kutokua na Bebe.
Nasikia unafunga sana PM

Hatua ya 1, fungua PM

Hatua ya 2, jibu PM

Hatua ya 3, bebishana na baby wako mpya ili na wengine waone wivu

Best luck
 
Eeeh. Ajabu eeh
watu hawafaham unaeza ukawa hata na watu 10,na unashirik tendo, but deep inside u,it feels like bado uko singo,..mim nilichokuja gundua ni kwamba mapenz,ya kwel yale ya kudata ni ya school,i mean kipind mko wadogo hiv,chuo sana sana,kipind hik ndo hua kina true lv,women do hav free minds here,yaan hawaangalii unahela au huna,..coz kipind cha shule u r all considered broke...hapo ndo kama unakuta dem kapenda kapenda na kama unakuta boy kapenda kapenda,so kama mtaachana na huyo mtu,aisee kupataga mwingne utu uzimani hua ni ngum kinoma..

I do experience same ish*,...tho nna madem weng tu,..ndo hapo sasa unakuja gundua maajab ya moyo..
 
Kukaa single muda mrefu kunaleta karoho Fulani ka Husda hivi. Hii kapo naionea wivu live. Inanikumbusha enzi Niko in love na my college sweetheart.
Haki kubebishana kwao kumenifanya nigutuke nachokimiss kwa kutokua na Bebe.
Tangazo limeeleweka. Watakuja PM
 
Tujifunze kufikiria na upande wa pili wa Shilling, maamuzi mengi ya viongozi hata ndugu na jamaa zetu, chanzo chake ni vichwa vyao kutindinganya mambo kunakoletwa na ainaa hizi za hisia!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…