Killmonger
JF-Expert Member
- Jan 11, 2015
- 2,021
- 2,242
Kukaa single muda mrefu kunaleta karoho Fulani ka Husda hivi. Hii kapo naionea wivu live. Inanikumbusha enzi Niko in love na my college sweetheart.
Haki kubebishana kwao kumenifanya nigutuke nachokimiss kwa kutokua na Bebe.
Hizo shida za kukumbatiana au kunyanduana unazani ni shida wakunyumba? Shida IPO kwenye kumpenda mtu
Mtoa mada daaaa sijui lakini!!!!Wewe na mtoa mada matatizo yenu yanafanana, mnaweza kusaidiana kutatua
Kama rahisi hivyo ajitokeze embu. Wale wa kupiga one two one Two wapo kumbuka ni Mimi tu nikitaka. Nataka yule ambae nikiona simu yake naona Kama nimefunguliwa mlango wa heavenMpango gani zaidi ya huu wa kueleza tatizo lake? Hapa kilichobaki ni mtu ajitokeze kutatua tatizo
Haya endelea kutazama mbebisho muvi.Sio Mimi chief...
Konyo. Nachagua toka lini mimi
Sasa utampataje huyo ambae unamtaka bila kujitokeza?Kama rahisi hivyo ajitokeze embu. Wale wa kupiga one two one Two wapo kumbuka ni Mimi tu nikitaka. Nataka yule ambae nikiona simu yake naona Kama nimefunguliwa mlango wa heaven
Ndo hivyo sasa. Single ya kutopenda lakini sio kupendwa
Ha ha ha nenda kalale...Wanatamanisha hatari
Aisee nasikiaga nguvu ya buku, naweza jishindia millioni kumi. Je ngugu ya Hello Mzigua90 itanishindia moyo wako?[emoji57]Kukaa single muda mrefu kunaleta karoho Fulani ka Husda hivi. Hii kapo naionea wivu live. Inanikumbusha enzi Niko in love na my college sweetheart.
Haki kubebishana kwao kumenifanya nigutuke nachokimiss kwa kutokua na Bebe.
Kasema wa kupiga one two one wapo kibao...Lakini huduma unapata sio!?
Hahahahahaaa. Niko single kwenye moyo sio kwenye mwili mkuu.
@mzigua90 [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] nilishasema nakupenda ko ruksa tu nasisi kuanza kujibebishaKukaa single muda mrefu kunaleta karoho Fulani ka Husda hivi. Hii kapo naionea wivu live. Inanikumbusha enzi Niko in love na my college sweetheart.
Haki kubebishana kwao kumenifanya nigutuke nachokimiss kwa kutokua na Bebe.
Haya sasa....Aisee nasikiaga nguvu ya buku, naweza jishindia millioni kumi. Je ngugu ya Hello Mzigua90 itanishindia moyo wako?[emoji57]
Sijui Kama ulishafatilia post zangu, mwenyewe nipo kwenye situation kama yako. Tofauti nina wadada kama wanne ila Sina mapenzi nao kabisa. Wewe Mzigua90 utakua the right selection Kama sio utakuwa number tano kwenye list yangu[emoji12]
Mzigua90 will you be my girlfriend, usual answer is always a yes. Unusual one, 'I can be your Jamii Forums girlfriend.' vyote poa.
Je shimo limetema nimeshinda BIKO?
-callmeGhost
Kasema wa kupiga one two one wapo kibao...