Nimekaa na Couple Inabebishana Hadi Naona Wivu

Kukaa single muda mrefu kunaleta karoho Fulani ka Husda hivi. Hii kapo naionea wivu live. Inanikumbusha enzi Niko in love na my college sweetheart.
Haki kubebishana kwao kumenifanya nigutuke nachokimiss kwa kutokua na Bebe.

Haiwezekani upo single!
 
Mpango gani zaidi ya huu wa kueleza tatizo lake? Hapa kilichobaki ni mtu ajitokeze kutatua tatizo
Kama rahisi hivyo ajitokeze embu. Wale wa kupiga one two one Two wapo kumbuka ni Mimi tu nikitaka. Nataka yule ambae nikiona simu yake naona Kama nimefunguliwa mlango wa heaven
 
Sasa utampataje huyo ambae unamtaka bila kujitokeza?
 
Kukaa single muda mrefu kunaleta karoho Fulani ka Husda hivi. Hii kapo naionea wivu live. Inanikumbusha enzi Niko in love na my college sweetheart.
Haki kubebishana kwao kumenifanya nigutuke nachokimiss kwa kutokua na Bebe.
Aisee nasikiaga nguvu ya buku, naweza jishindia millioni kumi. Je ngugu ya Hello Mzigua90 itanishindia moyo wako?[emoji57]

Sijui Kama ulishafatilia post zangu, mwenyewe nipo kwenye situation kama yako. Tofauti nina wadada kama wanne ila Sina mapenzi nao kabisa. Wewe Mzigua90 utakua the right selection Kama sio utakuwa number tano kwenye list yangu[emoji12]

Mzigua90 will you be my girlfriend, usual answer is always a yes. Unusual one, 'I can be your Jamii Forums girlfriend.' vyote poa.

Je shimo limetema nimeshinda BIKO?

-callmeGhost
 
@mzigua90 [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] nilishasema nakupenda ko ruksa tu nasisi kuanza kujibebisha
 
Aisee nasikiaga nguvu ya buku, naweza jishindia millioni kumi. Je ngugu ya Hello Mzigua90 itanishindia moyo wako?[emoji57]

Sijui Kama ulishafatilia post zangu, mwenyewe nipo kwenye situation kama yako. Tofauti nina wadada kama wanne ila Sina mapenzi nao kabisa. Wewe Mzigua90 utakua the right selection Kama sio utakuwa number tano kwenye list yangu[emoji12]

Mzigua90 will you be my girlfriend, usual answer is always a yes. Unusual one, 'I can be your Jamii Forums girlfriend.' vyote poa.

Je shimo limetema nimeshinda BIKO?

-callmeGhost
Haya sasa....
 
Back
Top Bottom