Jabesss
JF-Expert Member
- Sep 4, 2018
- 345
- 327
sawa zitapatikana tuPole jamani. Tafuta hela mwaya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sawa zitapatikana tuPole jamani. Tafuta hela mwaya
Pombe ya ndani ukilewa unalala zako kwa rahaa
Kama hujui unachokitafuta huwezi kukipata.Mi mwenyewe sijui
Ngoja nijaribu bahati yangu.Sina vigezo Mimi. Sijui mrefu mwenye hela mweupe sinaga Mimi. Moyo unapodondoka ndo hapo hapo
Fungua box la sms nikuletee ilaniSina vigezo Mimi. Sijui mrefu mwenye hela mweupe sinaga Mimi. Moyo unapodondoka ndo hapo hapo
NOT FOR RESALE.For Promotional Use Only. Strictly Not For Sale.
Mi mambo ya kupeana ilani naona ka yako kiazimio LA Arusha
Ila unanishawishi? Toa vigezo basi nijipime. Mtoto kama wewe unakosa mtu hadi kutamani maisha ya wengine? Usipoangalia hata ukikuta mbuzi wanapandana utawaonea wivu.Mscheewwww.. Mi sina anaeshika pembe wala tako
Nakujua vile unavyochagua ujue kuna mda huwa nakaa nakufikilia tu mmHahahahahaaaa
Siku ukifika stage hii nijulishe. Please.NOT FOR RESALE.
Basi asitusumvue hapa aendelee kuwa mpenzi mtazamaji.Nakujua vile unavyochagua ujue kuna mda huwa nakaa nakufikilia tu mm
Sina vigezo Mimi. Sijui mrefu mwenye hela mweupe sinaga Mimi. Moyo unapodondoka ndo hapo hapo