Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siku ukifika stage hii nijulishe. Please.
Mscheewwww.. Mi sina anaeshika pembe wala tako
Ila unanishawishi? Toa vigezo basi nijipime. Mtoto kama wewe unakosa mtu hadi kutamani maisha ya wengine? Usipoangalia hata ukikuta mbuzi wanapandana utawaonea wivu.
Yani mi Sera baadae kabisa. Nikupende kwanza mengine yatakuja tu taratibu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Huyo namjua mwenyewe anaweza akakupenda akifika nyumbani tu anaghailiBasi asitusumvue hapa aendelee kuwa mpenzi mtazamaji.
Aha ha haaaa! Hata sa hv nnazo ila naongezea ongezea ili nikifikisha 38yrs niwe nakula pension tuUkizipata mm nipo nakusubiri upate hayo mahela
Mscheeeww. Mi sichagui ni moyo tu ndugu yangu. Mchanga naona hanielewi tena
Shunie taratibu...nimekukosa wewe siwezi kumfuata dada yako nahamia ukoo mwingine.Sasa anakushawishi na ww shawishika acha kupiga kelele
YaanAha ha haaaa! Hata sa hv nnazo ila naongezea ongezea ili nikifikisha 38yrs niwe nakula pension tu