Kale raha,amka hapo !Ningekuwa sijapanda kitandani ningekuja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kale raha,amka hapo !Ningekuwa sijapanda kitandani ningekuja
Haya lala salama
Mm mlokole mkuuKale raha,amka hapo !
Wengi hawapajui ujue
Ila wewe mwanamke miyeyusho kinoma,yaani mgumu wa kuelewa kinoma.Mm mlokole mkuu
Hhahhah nakumbatia mito yangu
Inawezekana....nipe nusu saa nitakuwa hapoUtakua na swagga za babu zako labda
Kumbatia salama. Mi nataka kurudi home nikkumbatie Li wangu
Inawezekana....nipe nusu saa nitakuwa hapo
Mkuu we kila mwanamke humu ukimuona unachanganyikiwa wengine sisi shemale shauri yakoIla wewe mwanamke miyeyusho kinoma,yaani mgumu wa kuelewa kinoma.
Nilikwambiaje kuhusu kuniita mkuu ?Mkuu we kila mwanamke humu ukimuona unachanganyikiwa wengine sisi shemale shauri yako
Wanaume wote waliojaa mtaani, kazini, na kwingine unakumbatia mto?
Kumbatia salama. Mi nataka kurudi home nikkumbatie Li wangu
Msisahau kunipigia simu nikusalimieInawezekana....nipe nusu saa nitakuwa hapo
Unatunzaje utamu mwishowe grisi itakuwa nyingi sana, we mtunzie wk1 akikaribia kurudiMwenye mali kasafiri namtunzia utamu wake