Nimekaa nae kimahusiano miezi 6 tu, anadai tugawane mali nusu kwa nusu

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
jamani hivi ni sahihi kweli umekuwa ktk mahusiano tena si ya ndoa wala uchumba na mwanamke kwa miezi sita tu na mkaja kukorofishana kisha baadae anakwenda kukushitaki mahakamani kuwa anataka mgawane mali kwakuwa mmechuma wote. je kisheria hii imekaaje?
karibuni.
 

Je amewah kulala kwako kwa muda wa wiki moja na zaid? Kama ni ndio bas kwa sheria zetu ukikaa na mwanamke wiki moja nikimaanisha akiwa nyumban kwako tayar umemuoa na kisheria lazima atashinda kes mkuu,,
 
kisheria kuishi naye wiki tatu(3) tu tayari ni ndoa. . . so kama kuna mlivyochuma wote anasababu ya kudai chake.
 
SHERIA YA NDOA YA TANZANIA KIFUNGU CHA 160 kimeweka wazi suala hili, hebu tujionee sote

The Law of Marriage Act CAP 29 R.E 2002, Section 160 (1) and (2)

160. Presumption of marriage
(1) Where it is proved that a man and woman have lived together for two years or more, in such circumstances as to have acquired the reputation of being husband and wife, there shall be a rebuttable presumption that they were duly married.
(2) When a man and a woman have lived together in circumstances which give rise to a presumption provided for in subsection (1) and such presumption is rebutted in any court of competent jurisdiction, the woman shall be entitled to apply for maintenance for herself and for every child of the union on satisfying the court that she and the man did in fact live together as husband and wife for two years or more, and the court shall have jurisdiction to make an order or orders for maintenance and, upon application made therefor either by the woman or the man, to grant such other reliefs, including custody of children, as it has jurisdiction under this Act to make or grant upon or subsequent to the making of an order for the dissolution of a marriage or an order for separation, as the court may think fit, and the provisions of this Act which regulate and apply to proceedings for, and orders of, maintenance and other reliefs shall, in so far as they may be applicable, regulate and apply to proceedings for and orders of maintenance and other reliefs under this section
 
kisheria kuishi naye wiki tatu(3) tu tayari ni ndoa. . . so kama kuna mlivyochuma wote anasababu ya kudai chake.
which is which
Je amewah kulala kwako kwa muda wa wiki moja na zaid? Kama ni ndio bas kwa sheria zetu ukikaa na mwanamke wiki moja nikimaanisha akiwa nyumban kwako tayar umemuoa na kisheria lazima atashinda kes mkuu,,
 
Kwa kuwa umepata majibu sasa uwe na ujasiri.
 
which is which

Ikiwa ameish nae nyumban kwake kwa wik na zaid na amewah kumpatia huduma za ki ndoa mfano...kumpikia, kumfulia, kum,burudisha na kumpa huduma ya unyumba bas tayar ni mke wake...mahakaman watasema haya alikupikia ukapata nguvu ya kutafuta na kufanya kazi, alikuondoa stress ukafanya kaz vizur hapo ikiwa ni pamoja na kupewa unyumba hata kama hajanunua kitu kwa mkono wake bac hayo ya kupika, kufua na unyumba amechangia huyo mwanaume kuwaza vzr, kufanya kaz vzr na kuongeza kipato so kugawana ni lazima ki sheria.
 

haaaa!! kumbe asante kwa kunijuza hili
 
Uislamu ndio dini ya maumbile ya mwanadamu hivyo tukiishi kwa kufuata mifumo ya kiislamu katu hatutagombana. Allah s.w kazuweka sharia ili wanaadam tusihukumiane wenyewe kwani kwa kufanta hivyo tutakua na sheria za ajabu ajabu kama hizi. Allah s.w anajua udhaifu wa wanawake ndio maana akaweka sharia za ndoa ili wapate kutulia na waume zao. Kwa kutumia mwanya huu wa sheria za kibinaadam wanawake wengi wamekuwa matapeli sababu sheria zinawabeba leo hii mwanamke hana adamu na nidhamu kwa mumewe kisa tu anajua ukimuacha amenufaika hata kama mali zote ni zako. Ki binaadam tunazikataa tu sharia lakini nafsini mwetu tunakubaliana nazo sababu haiingii akilini dhulma kama hizi za wanawake juu ya wanaume.
Uislamu ni mfumo wa maisha ya mwanaadam lazima tuishi katika mifumo na taratibu za Allah s.w ili tupate kutulia na amani. BRING BACK OUR KADHI COURT
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…