Nimekaa nae kimahusiano miezi 6 tu, anadai tugawane mali nusu kwa nusu

Nimekaa nae kimahusiano miezi 6 tu, anadai tugawane mali nusu kwa nusu

Ndugu zangu mnaoeneza kuwa MKIISHI WIKI MOJA AMA MBILI......napenda kuwaomba mtutajie sheria ambayo ni tofauti na ile ya kifungu cha 160 katika sheria za ndoa ya Tanzania!
Si maneno matupu!:teeth:
 
jamani hivi ni sahihi kweli umekuwa ktk mahusiano tena si ya ndoa wala uchumba na mwanamke kwa miezi sita tu na mkaja kukorofishana kisha baadae anakwenda kukushitaki mahakamani kuwa anataka mgawane mali kwakuwa mmechuma wote. je kisheria hii imekaaje?
karibuni.

"There is no such:ballchain: thing as a free lunch" - Danny Job
 
Last edited by a moderator:
"There is no such:ballchain: thing as a free lunch" - Danny Job

mkuu huu msemo wengine hawaulewi. . . watu huangalia mpande mmoja tu na kusahau upande wa pili ambao huja kama matokeo ya kile kilichofanyika mwanzo.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom