Nimekaa nae kimahusiano miezi 6 tu, anadai tugawane mali nusu kwa nusu

Ndugu zangu mnaoeneza kuwa MKIISHI WIKI MOJA AMA MBILI......napenda kuwaomba mtutajie sheria ambayo ni tofauti na ile ya kifungu cha 160 katika sheria za ndoa ya Tanzania!
Si maneno matupu!:teeth:
 

"There is no such:ballchain: thing as a free lunch" - Danny Job
 
Last edited by a moderator:
"There is no such:ballchain: thing as a free lunch" - Danny Job

mkuu huu msemo wengine hawaulewi. . . watu huangalia mpande mmoja tu na kusahau upande wa pili ambao huja kama matokeo ya kile kilichofanyika mwanzo.
 
Last edited by a moderator:
ndio sheria zetu hizo. . ndoa sio mpaka uwe na cheti . . ila mtu akifa ukija kwenye mirathi watadai cheti daaa ni hatari sana.

aisee umeongea neon la msingi sana hivi inakuaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…