Nimekamatika Jamani

Asante Kamanda! Unaweza kuwa baba upande wa mume harusi in 10 years, tuombeane heri. Ushanifahamu?

Ahsante sana Mkuu kwa kunipa heshima kubwa sana, lakini naona imenizidi kimo lakini kwenye majaliwa tutakuwa wote katika jambo hili la heri. Kwa maoni yangu kama huyu binti mnapendana kiasi hicho basi miaka 10 ya uBF na uGF ni mingi mno. Binti anaweza kukata tamaa mapema na kuingia mitini hasa ukitilia maanani biological clock ya wenzetu haina muda mrefu sana. Hebu lifikirie tena hili ili kupunguza kiwango hicho cha miaka 10 na labda kubakisha one third ya miaka hiyo. Kila la heri.
 
Masanilo,

Kama huyo binti ni MGAZIJA, basi umelishwa NSAMBA...... hahaahaaaa 🙂

Utapeleka kwao hadi DNA zako.... hihiiiiiiii.

Mwisho kumbuka usemi huu:
Mwanamke anakutana na janaume, anasema tukiowana atabadilika tabia - HABADILIKI.

Mwanaume anakutana na toto, anasema atakuwa hivi milele kwa umbo na tabia - Mhhh, wewe subiri tu (veve kondaga du).
 

BJ alikuwa wa JF jamani huyu ni wa life!
 
BJ alikuwa wa JF jamani huyu ni wa life!

...🙁 past tense hiyo mazee,...!

Mkubwa, kama roho inataka jichukulie jumla jumla bana,
maisha yenyewe haya haya, watoto watachangua wenyewe dini waitakayo kwa imani watazojaaliwa. Mungu si Mmoja bana? au wewe unaamini watatu?

Kila la kheri!

 

Asante sana Mbu, tupo pamoja!
 

Nikatika kufahamiana Baba ! Cha muhimu ni kuwekana vizuri kupeana quality time pamoja hakuna kuzeeka kaka.......miaka kumi kwenye mapenzi ni kama siku 10 tu!
 
mAPENZI NI YA WATU WAWILI WALIOPENDANA SO KAMA VP MZEE KAMATIA NGOMA hiyo uiweke ndani. Pamoja sana
 
Mpwa Singida.....mmmhhh ila meno yao mzeee hata ukitumia strong bleach meno hayawi meupe!


Masa mkuuu tema mate chini ile sio kosa lao ni maji tu,, usiwanyanyapae mkuu...bado sifa zao zinasimama....!
 
BJ alikuwa wa JF jamani huyu ni wa life!

Masa,


Toka enzi za Makutu hadi leo bado unafikira kudate miaka 10? Kama bado upo upo naona mwanangu atakukuta. Utakuwa tayari niwe baba mkwe wako Mzenji akiingia mitini?

Hilo la dini liweke kando kwanza ili ushughulikie kitu kimoja kwanza. Utazua sintofamahamu na network inaweza katika ghafla. Kila la heri Bro!
 
Katika pilika pilika zangu za kimapenzi nimejikuta nimenaswa na penzi la mtoto wa Kizanzibar.
hapop hapo shem.....totozi za kizenji si mchezo.....namkumbuka MMOJA Fatmah kwanz akumsikiliza aleta raha!.....nakushauri eat and run sio wife material hao...
Nimemuonya asije JF kuna wakorofi.....!
Aje kwenye PM yangu ruksa....
 
hapop hapo shem.....totozi za kizenji si mchezo.....namkumbuka MMOJA Fatmah kwanz akumsikiliza aleta raha!.....nakushauri eat and run sio wife material hao...

Aje kwenye PM yangu ruksa....

Mpwa shemjeio huyu...no PM akija!
 

Hahahaahh mzee wacha tu nilikuwa bado napita pita kwanza sasa natulia Zenj! Akiingia mitini saidia baba mkwe
 
Hongera Masanilo lakini hujatuambia kama Binti keshakukutanisha na wazazi wake ukaona reaction yao,au mbado hamjafikia hatua hiyo?
 
Hongera Masanilo lakini hujatuambia kama Binti keshakukutanisha na wazazi wake ukaona reaction yao,au mbado hamjafikia hatua hiyo?

Hiyo bado tunataka kwenda akiwa mjamzito kama member mmoja alivyoshauri!
 
Haya maadili nimeyapenda sana Ndugu yangu Masa
hapo kwenye nyekundu please please please please please dont entertain that kwasababu itakuja kula kwako one day kama kweli umeintend aje kuwa your wife, yamewakuta watu haya walikuta wachumba baadae wake zao hawanywi wakaanza kuwalobby wanywe japo red wine, baadae wakaja kuwa maexpert kwenye kutandika mitungi na ndio wameingia ndani kama wake, walijuta na wanaendelea kujuta, wakiuliza wanajibiwa SI ULINIFUNDISHA MWENYEWE NILIKUOMBA? NIACHE KWA RAHA ZANGU BABU WEWEE!
 


Nimekusoma best nitalifanyia kazi si unajua sitaki kumboa hasa siku hizi za mwanzo!
 
....LAKINI PIA NATILIA SHAKA USHAURI UNAOMWELEKEZA MASANILO KUWA DINI SIO TATIZO/KIKWAZO etc etc. Mimi kwa mtazamo wangu awe makini sana nina wasiwasi binamu utakuja kulia, kusaga meno na kuomboleza. Waulize kwanza waliojaribu kufanya kama wewe then do it.............!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…