Nahisi nimepoteza bahati
Maskini weee ushalishwa LIMWABA. Masa wee!!!Hahahaha harudi mtu huku nahamasisha CUF wakubali Muafaka! hahahahahah
Ustaadhi Masa
Masanilo,
Nimekutana na huyu aliyekukamata.
Sasa Nkoi si mmoja unipatie maana kwa kweli ni mwanzo wa matatizo.
Ila hawa itabidi niibe ng'ombe wote wa kijiji kwa ajili ya mahali....
Ila ujiandae kuvaa kanzu maana sidhani kama baba ataruhusu mtu anayesali akiwa kavaa suti la pembe tatu.....
Hivi vifaa ni pande za wapi wakuu maana hata kama ni kuvaa kanzu kwa mda itanihusu tu ctakuwa na pingamizi..
Masanilo,
Nimekutana na huyu aliyekukamata.
Sasa Nkoi si mmoja unipatie maana kwa kweli ni mwanzo wa matatizo.
Ila hawa itabidi niibe ng'ombe wote wa kijiji kwa ajili ya mahali....
Ila ujiandae kuvaa kanzu maana sidhani kama baba ataruhusu mtu anayesali akiwa kavaa suti la pembe tatu.....
Hahahahaha mazee umelenga! Sweet Zanzibaris girls
Masa mi sikuelewi uliwahi kutuambia huku una mke, alikukuta na condom kwenye gari ukazuga mafundi wameweka, sasa ulikuwa unauza chai, au unataka kumchezea mtot wa watu na kumsaliti wifi yetu?
Mshikaji wanitosa kimaso maso!
Poa Ngoja nimuage Bellies!