Nimekamatika Jamani

Nimekamatika Jamani

Masanilo,

Nimekutana na huyu aliyekukamata.

Sasa Nkoi si mmoja unipatie maana kwa kweli ni mwanzo wa matatizo.

Ila hawa itabidi niibe ng'ombe wote wa kijiji kwa ajili ya mahali....

HJAB

Ila ujiandae kuvaa kanzu maana sidhani kama baba ataruhusu mtu anayesali akiwa kavaa suti la pembe tatu.....
 
Hivi vifaa ni pande za wapi wakuu maana hata kama ni kuvaa kanzu kwa mda itanihusu tu ctakuwa na pingamizi..
 
Mvina,

Na wewe umo? Sasa mbona wako wawili tu? Gari limeshajaa ati.

Hawa watoto hadi utashangaa umeanza lini kuvaa kanzu na kusikiliza Kaswida na nyimbo za Mwambao.........

Ila ukiwa peke yako kwenye gari basi unatune cloud FM.
 
Masanilo,

Nimekutana na huyu aliyekukamata.

Sasa Nkoi si mmoja unipatie maana kwa kweli ni mwanzo wa matatizo.

Ila hawa itabidi niibe ng'ombe wote wa kijiji kwa ajili ya mahali....

HJAB

Ila ujiandae kuvaa kanzu maana sidhani kama baba ataruhusu mtu anayesali akiwa kavaa suti la pembe tatu.....

Hahahahaha mazee umelenga! Sweet Zanzibaris girls
 
Masa mi sikuelewi uliwahi kutuambia huku una mke, alikukuta na condom kwenye gari ukazuga mafundi wameweka, sasa ulikuwa unauza chai, au unataka kumchezea mtot wa watu na kumsaliti wifi yetu?
 
Hahahaha unakumbukumbu eehh umekosea Joyceline! Nilisema rafiki yangu sisi mimi mambo hayo sifanyi bana!
 
Kaka Masanilo nakupongeza kwa kumpata mrembo huyo na ninakutakieni kila la heri katika maisha yenu pamoja.

Kuhusu dini, achana na mambo ya dini, hizo ni tamaduni tu za wazungu na waarabu. Kwani kabla hawajaja wazungu na waarabu huku kutuletea dini zao, waafrika hatukuwa na imani zetu na taratibu zetu za maisha? Au unadhani ni wazungu na waarabu ndio 'waliovumbua' Mungu ndipo wakaja kutustaarabisha? La hasha, dini si teknolojia kama kompyuta useme inabidi tufuate uvumbuzi wa maendeleo!

Jiwekeeni utaratibu wenu wa maisha, hiyo ndiyo dini yenu. Achaneni na utumwa wa wazungu na waarabu!
 
He he..ndege mjanja hunasa kwenye tundu bovu!..Tutambulishane jamani, ha ha!
Eniwei yote yanawezekana ili mradi mnapendana, hata mkibaki na dini zenu!..
 
Mshikaji wanitosa kimaso maso!
 
Back
Top Bottom