Nimekamatika uswazi

Itabidi nikubali 2 maana nina stress imejaa gunia, lakini hapo kwenye ratio mmmmmh! roho inauma roho inauma lakini wivu sina, when is the big day???????
duh!
nimeshakamata kifaa hivi hivi!lol

sasa hiyo big day unamaana gan?
enewei tunaweza kwenda PI-EMU TAFADHAL?😀
 
Lily Maua, nilikushauri utulie kwanza sasa hayo mastress yanakokupeleka nina wasiwasi! Unahitaji kuwa na plan jinsi ya kuishi katika hii transition period, vinginevyo utarudi tena unataka ushauri !.
 
we acha tu sasa hivi nina tele conference naye kutoka loitokitoki!
Hehehe! Haya bana! Angalia asikufanzie mpaka kwa mtandao! Watakucheka watu hapo kwa ankali! LOL!
 
C U THERE!!! kwa msisitizo
hehehehe!
dah!wadau nadhani wenyewe mmethibitisha kijana wenu ninatisha KWA KUDUMISHA MILA!

napotea kidogo nitakuwa PM na shemeji yenu wa pili,LF!😀
CIAO
 
hehehehe!
dah!wadau nadhani wenyewe mmethibitisha kijana wenu ninatisha KWA KUDUMISHA MILA!

napotea kidogo nitakuwa PM na shemeji yenu wa pili,LF!😀
CIAO

Afu we unaniuzigi kweli. Na umri huo ndio unatafuta wa pili leo? Mila zitakushinda sasa!
 
hehehehe!
dah!wadau nadhani wenyewe mmethibitisha kijana wenu ninatisha KWA KUDUMISHA MILA!

napotea kidogo nitakuwa PM na shemeji yenu wa pili,LF!😀
CIAO

Ayi!!! so fast LF!!!!
 
Akiendelea na tabia nzuri nazaaa nae mtoto kabisa
Mkuu kuna kila dalili huko uswazi from day 1 ulianza kuungurumisha mashine sterio tupu.Taratibu mkuu bado tunakuhitaji humu JF!!
 
Mkuu, anakaa maeneo gani huku Kigogo? Mimi nakaa huku... si vibaya ukini-introduzi ili pale anapopata dharura ndogondogo za vijisenti wakati wewe uko mbali kidogo niwe namhudumia shemeji yangu kipenzi!
 
Mmmh! Huu ukarimu wako mbona kama umepitiliza?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…