Nimekamilisha kwa kiasi fulani nyumba yangu, nadhani ni muda wa kuvuta ndinga

Nimekamilisha kwa kiasi fulani nyumba yangu, nadhani ni muda wa kuvuta ndinga

Kiume3000

Senior Member
Joined
May 17, 2021
Posts
180
Reaction score
218
Wakubwa mnaonaje..

Tayari nimehamia nataka nifanye maamuzi ya msingi kipi bora usafiri au mwanamke wa umri wa makamo nimekutana nae namuhofia ingawa ananipenda sana. Namuhisi na magonjwa haya sina raha. Nimekuwa puzzled sijui niambie nini.

Mwisho, Wakuu nishukuru Dua zenu, naendelea vema, afya ya akili imetengemaa
 
Wakubwa mnaonaje..

Tayari nimehamia nataka nifanye maamuzi ya msingi kipi bora usafiri au mwanaume mwanamke wa umri wa makamobnimekutana nae namuhofia ingawa ananipenda sana. Namuhisi na magonjwa haya sina raha. Nimekuwa puzzled sijui niambie nini....

Mwisho, Wakuu nishukuru Dua zenu, naendelea vema, afya ya akili imetengemaa
Tuliza pressure uandike vizuri
 
Weka picha
 
Unaandika kama vile unamkimbia baba au mama mwenye nyumba kaja kudai kodi yake alaf utuaminishe umejenga kweli
 
Nilifikiri labda ni mimi ndio nina tatizo la kutoelewa kwa haraka.
 
Nakumbuka mara ya kwanza kufikiria kujenga nyumba, nilijenga ilipofika kwenye lenta, nikawa na hela nyingine mfukoni ghafla nikaona kuna kiwanja kizuriiii sehemu nyingine na cha bei ya chini, nikatumia ile hela kwenda kununua kiwanja hicho, nikaanza kujenga na chenyewe kufika kwenye lenta.

Nikaona bonge la uwanja sehemu nzuri jamaa anauza ana matatizo na ni hot keki na ni sehemu nzuri na uzunguni zaidi kuishi kuliko zile za awali, nikasimama unjenzi nikaenda kununua kiwanja hicho, kama zari la mentali kila nikifika, nikapata kiwanja kingine tena cha barabarani kwa ajili ya maduka. ilifika kipindi nikajikuta nina mapagale matatu na kiwanja mkononi na bado napanga.
 
Wakubwa mnaonaje..

Tayari nimehamia nataka nifanye maamuzi ya msingi kipi bora usafiri au mwanaume mwanamke wa umri wa makamobnimekutana nae namuhofia ingawa ananipenda sana. Namuhisi na magonjwa haya sina raha. Nimekuwa puzzled sijui niambie nini....

Mwisho, Wakuu nishukuru Dua zenu, naendelea vema, afya ya akili imetengemaa
Kwa uandishi huu hebu tupia picha tuone nyumba uliyojenga, huenda imeshabiana na maandiko yako
 
Tunafanana mzee mi niliishia kuuza kiwanja na nyumba moja isiyokamilika kwa bei za hasara iliyofikia ili kumalizia nyumba moja.
 
Tunafanana mzee mi niliishia kuuza kiwanja na nyumba moja isiyokamilika kwa bei za hasara iliyofikia ili kumalizia nyumba moja.
Mi sikuuza, nilina bora kupanga hata miaka kumi ila zote nimalizie. unauzaje kiwanja mzee? kupanga sio ushamba kama asset uunazo, acha wakucheke tu ila maaset unakuwa nayo kimyaaa.
 
nakumbuka mara ya kwanza kufikiria kujenga nyumba, nilijenga ilipofika kwenye lenta, nikawa na hela nyingine mfukoni ghafla nikaona kuna kiwanja kizuriiii sehemu nyingine na cha bei ya chini, nikatumia ile hela kwenda kununua kiwanja hicho, nikaanza kujenga na chenyewe kufika kwenye lenta, nikaona bonge la uwanja sehemu nzuri jamaa anauza ana matatizo na ni hot keki na ni sehemu nzuri na uzunguni zaidi kuishi kuliko zile za awali, nikasimama unjenzi nikaenda kununua kiwanja hicho, kama zari la mentali kila nikifika, nikapata kiwanja kingine tena cha barabarani kwa ajili ya maduka. ilifika kipindi nikajikuta nina mapagale matatu na kiwanja mkononi na bado napanga.
Tunafanana mzee mi niliishia kuuza kiwanja na nyumba moja isiyokamilika kwa bei za hasara iliyofikia ili kumalizia nyumba moja.
 
mi sikuuza, nilina bora kupanga hata miaka kumi ila zote nimalizie. unauzaje kiwanja mzee? kupanga sio ushamba kama asset uunazo, acha wakucheke tu ila maaset unakuwa nayo kimyaaa.
Sasa kama channel za pesa zote zimekata ningefanyaje?
 
Back
Top Bottom