Tuliza pressure uandike vizuriWakubwa mnaonaje..
Tayari nimehamia nataka nifanye maamuzi ya msingi kipi bora usafiri au mwanaume mwanamke wa umri wa makamobnimekutana nae namuhofia ingawa ananipenda sana. Namuhisi na magonjwa haya sina raha. Nimekuwa puzzled sijui niambie nini....
Mwisho, Wakuu nishukuru Dua zenu, naendelea vema, afya ya akili imetengemaa
Yupo kwake ana kumuhemuhe, anaandika uku anaangalia malumalu (tiles) zinavyo ng'aa sebleniTuliza pressure uandike vizuri
KumbeYupo kwake ana kumuhemuhe, anaandika uku anaangalia malumalu (tiles) zinavyo ng'aa sebleni
Naunga hoja[emoji818][emoji818][emoji818]Huu uandishi sidhani kama afya ya akili ipo timamu
Hujapona wewe kunywa dawa
Weka pichaWakubwa mnaonaje..
Tayari nimehamia nataka nifanye maamuzi ya msingi kipi bora usafiri au mwanaume mwanamke wa umri wa makamobnimekutana nae namuhofia ingawa ananipenda sana. Namuhisi na magonjwa haya sina raha. Nimekuwa puzzled sijui niambie nini....
Mwisho, Wakuu nishukuru Dua zenu, naendelea vema, afya ya akili imetengemaa
Kwa uandishi huu hebu tupia picha tuone nyumba uliyojenga, huenda imeshabiana na maandiko yakoWakubwa mnaonaje..
Tayari nimehamia nataka nifanye maamuzi ya msingi kipi bora usafiri au mwanaume mwanamke wa umri wa makamobnimekutana nae namuhofia ingawa ananipenda sana. Namuhisi na magonjwa haya sina raha. Nimekuwa puzzled sijui niambie nini....
Mwisho, Wakuu nishukuru Dua zenu, naendelea vema, afya ya akili imetengemaa
Mi sikuuza, nilina bora kupanga hata miaka kumi ila zote nimalizie. unauzaje kiwanja mzee? kupanga sio ushamba kama asset uunazo, acha wakucheke tu ila maaset unakuwa nayo kimyaaa.Tunafanana mzee mi niliishia kuuza kiwanja na nyumba moja isiyokamilika kwa bei za hasara iliyofikia ili kumalizia nyumba moja.
Tunafanana mzee mi niliishia kuuza kiwanja na nyumba moja isiyokamilika kwa bei za hasara iliyofikia ili kumalizia nyumba moja.nakumbuka mara ya kwanza kufikiria kujenga nyumba, nilijenga ilipofika kwenye lenta, nikawa na hela nyingine mfukoni ghafla nikaona kuna kiwanja kizuriiii sehemu nyingine na cha bei ya chini, nikatumia ile hela kwenda kununua kiwanja hicho, nikaanza kujenga na chenyewe kufika kwenye lenta, nikaona bonge la uwanja sehemu nzuri jamaa anauza ana matatizo na ni hot keki na ni sehemu nzuri na uzunguni zaidi kuishi kuliko zile za awali, nikasimama unjenzi nikaenda kununua kiwanja hicho, kama zari la mentali kila nikifika, nikapata kiwanja kingine tena cha barabarani kwa ajili ya maduka. ilifika kipindi nikajikuta nina mapagale matatu na kiwanja mkononi na bado napanga.
Sasa kama channel za pesa zote zimekata ningefanyaje?mi sikuuza, nilina bora kupanga hata miaka kumi ila zote nimalizie. unauzaje kiwanja mzee? kupanga sio ushamba kama asset uunazo, acha wakucheke tu ila maaset unakuwa nayo kimyaaa.