Mkereketwa_Huyu
JF-Expert Member
- Feb 19, 2011
- 9,836
- 7,231
Hiyo picha ya nyumba iko wapi?Wakubwa mnaonaje..
Tayari nimehamia nataka nifanye maamuzi ya msingi kipi bora usafiri au mwanaume mwanamke wa umri wa makamobnimekutana nae namuhofia ingawa ananipenda sana. Namuhisi na magonjwa haya sina raha. Nimekuwa puzzled sijui niambie nini....
Mwisho, Wakuu nishukuru Dua zenu, naendelea vema, afya ya akili imetengemaa
Yupo kwake ana kumuhemuhe, anaandika uku anaangalia malumalu (tiles) zinavyo ng'aa sebleni
Hii tamaa ilikua nayo, nmeacha rasmi mwaka huunakumbuka mara ya kwanza kufikiria kujenga nyumba, nilijenga ilipofika kwenye lenta, nikawa na hela nyingine mfukoni ghafla nikaona kuna kiwanja kizuriiii sehemu nyingine na cha bei ya chini, nikatumia ile hela kwenda kununua kiwanja hicho, nikaanza kujenga na chenyewe kufika kwenye lenta, nikaona bonge la uwanja sehemu nzuri jamaa anauza ana matatizo na ni hot keki na ni sehemu nzuri na uzunguni zaidi kuishi kuliko zile za awali, nikasimama unjenzi nikaenda kununua kiwanja hicho, kama zari la mentali kila nikifika, nikapata kiwanja kingine tena cha barabarani kwa ajili ya maduka. ilifika kipindi nikajikuta nina mapagale matatu na kiwanja mkononi na bado napanga.
Naona bado hujapona maana kwa ulivyoandika ni dhahiri wahitajika kuendelea na matibabu!Wakubwa mnaonaje..
Tayari nimehamia nataka nifanye maamuzi ya msingi kipi bora usafiri au mwanaume mwanamke wa umri wa makamo nimekutana nae namuhofia ingawa ananipenda sana. Namuhisi na magonjwa haya sina raha. Nimekuwa puzzled sijui niambie nini.
Mwisho, Wakuu nishukuru Dua zenu, naendelea vema, afya ya akili imetengemaa
Kama huyo mwanamke anakuzidi umri kimbia, mbona wanawake wapo wengi huyo mwanamke ana kipi cha ziada? Atakuchuna ukifulia anakukimbia. Tafuta mwanamke unaemzidi hata 2-3yrs. Wa kuoa sio wa sogea tuishi.Wakubwa mnaonaje..
Tayari nimehamia nataka nifanye maamuzi ya msingi kipi bora usafiri au mwanamke wa umri wa makamo nimekutana nae namuhofia ingawa ananipenda sana. Namuhisi na magonjwa haya sina raha. Nimekuwa puzzled sijui niambie nini.
Mwisho, Wakuu nishukuru Dua zenu, naendelea vema, afya ya akili imetengemaa
Nimechekà kinouma mkuu .Hiyo ni laana mkuuuNakumbuka mara ya kwanza kufikiria kujenga nyumba, nilijenga ilipofika kwenye lenta, nikawa na hela nyingine mfukoni ghafla nikaona kuna kiwanja kizuriiii sehemu nyingine na cha bei ya chini, nikatumia ile hela kwenda kununua kiwanja hicho, nikaanza kujenga na chenyewe kufika kwenye lenta.
Nikaona bonge la uwanja sehemu nzuri jamaa anauza ana matatizo na ni hot keki na ni sehemu nzuri na uzunguni zaidi kuishi kuliko zile za awali, nikasimama unjenzi nikaenda kununua kiwanja hicho, kama zari la mentali kila nikifika, nikapata kiwanja kingine tena cha barabarani kwa ajili ya maduka. ilifika kipindi nikajikuta nina mapagale matatu na kiwanja mkononi na bado napanga.
Laana gani wakati sasahivi nimepata nafasi ya kumalizia mijengo yote, na ninaimiliki yote. nafikiri n i hulka tu ya ujana kupenda kila unachokiona na kwa upande wangu ilifanyikwa kwa manufaa.Nimechekà kinouma mkuu .Hiyo ni laana mkuuu
Wakubwa mnaonaje..
Tayari nimehamia nataka nifanye maamuzi ya msingi kipi bora usafiri au mwanamke wa umri wa makamo nimekutana nae namuhofia ingawa ananipenda sana. Namuhisi na magonjwa haya sina raha. Nimekuwa puzzled sijui niambie nini.
Mwisho, Wakuu nishukuru Dua zenu, naendelea vema, afya ya akili imetengemaa