Mjukuu wa mama
Member
- Sep 18, 2023
- 35
- 46
- Thread starter
-
- #41
bro me siombi pesa sory kama utanielewa vibaya niliyoyapitia nahs enough ,, kuna watu walikua wananitegemea but sina namnaUnazingua bro, kujiua sio suluhisho la deni.
Unadaiwa bei gan?? Kuna namna tunaweza shauri ana saidia
kuna weed poison kaisema dada hapo juu ,, sijajua jina lakeUnazingua bro, kujiua sio suluhisho la deni.
Unadaiwa bei gan?? Kuna namna tunaweza shauri ana saidia
Pambana na hiyo fedhaa na uishinde kihalisia ni kweli utaonekana hufai ila zingatia huo ushauri kaa chini na ongea nae..asante ila nashindwa kumweleza ,,ntapata fedheha
We jamaa mbona kimya isije ukawa umejiua.kuna weed poison kaisema dada hapo juu ,, sijajua jina lake