Sasa kutumia miwani nayo ni tiba?
Mkuu hayo
magonjwa ya kurithi kwetu hakuna, na kama ingekuwa hivyo basi!
ningezaliwa nayo.
Jamaa yangu nimekuomba UMRI WAKOSasa kutumia miwani nayo ni tiba?
Miwani sio dawa jamani?
Sasa kutumia miwani nayo ni tiba?
Wapi nimesema situmii miwani au siitaki? mimi natumia miwani ila natafuta tiba.
Mkuu ni hivi;miwani sijagoma na ninaitumia daily ila ninachotaka ni tiba nirudi kwenye hali yangu ya kwanza.
Asante ndugu! kwa kweli macho hayaniumi wala hayawashi ni kutokuona vizuri tu.
Mkuu kama ccbrt wameshindwa hapo muhimbili wataweza kweli?
njoo muhimbili kitengo cha macho upate msaada, ....
....nilikua na ndugu yangu alikua na matatizo ya macho.....Muhimbili wakasema afanyiwe operations kila mwezi for the rest of her life🙁
Habari wa jukwaa letu la lfdoctor?
Jamani nimekata tamaa ya kupona macho, nimetembea kwenye hospital nyingi tu naambiwa hawaoni tatizo wananipa tu ushauri wa kula vyakula na matunda na pia kutumia miwani ili kurekebisha uono hafifu, hii ina maana kuwa hospital hakuna tiba ya macho zaidi ya kupewa miwani tu.
Mimi binafsi sipendi kutumia miwani bali ni kupona kabisa tatizo la macho, niliwahi kuambiwa nimechezewa lakini hata tiba za jadi hazijanisaidia zaidi ya kufuja pesa. naombeni ushauri wadau nifanyeje?
Mkuu ni hivi;miwani sijagoma na ninaitumia daily ila ninachotaka ni tiba nirudi kwenye hali yangu ya kwanza.
Kuna wazungu pale ccbrt waliniambia tu niwe nakula mbogamboga tu, hii ina maana kwamba nitakuwa na upungufu wa vitamini C kwani baada ya hapo nilishauriwa nitumie miwani tu kwamba kadiri siku zinavyokwenda itakuwa inanisaidia na hatimaye kuacha kabisa kuitumia.
Jamaa yangu nimekuomba UMRI WAKO
km ni ya kusomea haina ujanja hasa maandishi madogo km ya simu au Computer km upo fulltime 18hrs ni lazoma
na km una umri kuanzia 35 - 40yrs nguvu ya kusoma mara nyingi wanapewa 1.0
na km una umri wa 45 - 50yrs utapewa nguvu ya mowani ya kusomea 1.5 - 2.0 - 2.5
km i,espgea 55yrs 3.0
Mkuu nadhani nguvu ya lens inategemea na ukubwa wa tatizo. Mimi ninavaa -4 na hata sijafikisha miaka 30
Halafu nauliza kuhusu tiba mbadala, wapo baadhi ya madaktari wamenambia kuwa hospital hazina dawa za matatizo ya macho zaidi ya operation, hivyo naambiwa niende kwa wataalam wa tiba asilia wanaotibu kwa vidonge, pia wapo wanaoniambia kuwa kama hospital hawana dawa ya kunitibu, basi! hata tiba za asili za kina dr. ndodi hazitanisaidia, hivyo nakata tamaa ya kupona kwa kuwa hospital hakuna tiba ya tatizo langu.
Ni dr.gani anaweza kunipatia tiba kamili kwa huko dar? mimi nipo dodoma.