Nimekata tamaa ya kupona .

Nimekata tamaa ya kupona .

Sasa kutumia miwani nayo ni tiba?

tehe tehe tehe tehe yani ningekuwa dr then nikapata mgonjwa kama wewe,nahisi ningechizi sasa kama si tiba wangekushauri utumie miwani?samahani una umri gani?
 
Hata
mimi sikuzaliwa hivi yamenianza ukubwani ila baba yangu na ndugu zangu
wengine pia wana hili tatizo,hakuna dawa itakayokufanya uone mbali kama
zamani, vaa tu miwani inaimprove, nilikuwa navaa lenzi kubwa sana lakini kila
nikibadili miwani inapungua.
Mkuu hayo
magonjwa ya kurithi kwetu hakuna, na kama ingekuwa hivyo basi!
ningezaliwa nayo.
 
mkuu mleta mada hupaswi kukata tamaa sababu ya macho sababu miwani itakusaidia mimi hapa sisikii vizuri na maisha yanasonga sababu silipi uzito sana tatizo langu na naishi kama vile sina tatizo
 
wewe mtoa mada hupaswi kutumia maneno "umekata tamaa" kwa kuumwa macho tu kuna watu wenye magonjwa makubwa makubwa lakini bado hawajakata tamaa
 
Sasa kutumia miwani nayo ni tiba?
Jamaa yangu nimekuomba UMRI WAKO
km ni ya kusomea haina ujanja hasa maandishi madogo km ya simu au Computer km upo fulltime 18hrs ni lazoma
na km una umri kuanzia 35 - 40yrs nguvu ya kusoma mara nyingi wanapewa 1.0
na km una umri wa 45 - 50yrs utapewa nguvu ya mowani ya kusomea 1.5 - 2.0 - 2.5
km i,espgea 55yrs 3.0 khttp://www.cyberphysics.co.uk/topics/medical/Eye/sightCorrection.html
iendelea na kuna maandishi utapewa ambayo yataonesha ubora wako
alex-frauenfeld-mystery.jpg

la sivyo uache kusoma na kuandika ndipo huwezi tumia miwani
kuna wenye kuweza kusoma karibu lakini mita 5 mbele haoni
hebu Google zaidi Eight Ways To Protect Your Eyesight - AllAboutVision.com
 
Mkuu kama unaona matumizi ya miwani hayafai, jifunze kupapasa na hudhuria shule ili uelewe kusoma maandishi ya vinundu!
Mi ushauri wangu ndio huo vinginevyo endelea kuliwa hela.
 
kama ni mkazi wa dodoma pole sana huo mji unamatatizo hayo historically na wala sio wew pekeako miwani ni suluhisho ndugu wasalimie airport mtaa wangu wa vibaka pale chini kidogo kwe msikiti
 
Miwani sio dawa jamani?

Sasa kutumia miwani nayo ni tiba?

Wapi nimesema situmii miwani au siitaki? mimi natumia miwani ila natafuta tiba.

Mkuu ni hivi;miwani sijagoma na ninaitumia daily ila ninachotaka ni tiba nirudi kwenye hali yangu ya kwanza.

Asante ndugu! kwa kweli macho hayaniumi wala hayawashi ni kutokuona vizuri tu.

Kama walivyosema wengine, wewe ni mbishi. Kuna tofauti kati ya treatment na cure. Wakati cure inamaliza kabisa sababu za ugonjwa, treatment inasaidia kupunguza symptoms na madhara ya ugonjwa.

Kuna magonjwa yanayoweza kuwa cured. Lakini yapo mengine ambayo hayana cure. Kama ugonjwa hauwezi kuwa cured, madaktari wanatumia treatment ili kusaidia ku-control huo ugonjwa.

Inaonkena umeshauriwa kuvaa miwani kama treatment, lakini wewe unataka macho yako yawe cured ili uweze kuona mbali kama zamani.

Unataka vision ya macho yako kuona mbali iwe restored kama ilivyokuwa hapo mwanzo? Kama ni hivyo, then sidhani kama itaweza kuwa restored bila operation regardless of the cause. Hapo ni treatment tuu aka kuvaa miwani.

Laser surgery au laser implant surgery zinaweza ku-cure short sight permanently kwa baadhi ya watu. Lakini kwa wengine inaweza isifanye hivyo, which means itabdi uwe unavaa miwani wakati wa usiku au wakati kukiwa na mwanga mkali.

Tatizo lingine hizo operations ni irreversible na gali. Kama operation ikienda kombo au ikienda vizuri lakini bila nafuu then ndiyo imetoka hiyo.

Penda usipende naona kama treatment hapo ni kuvaa miwani tuu. Tena vaa miwani bana maana tafiti zinadai kuwa kuna uhusiano kati ya myopia (shortsighted) na IQ ya juu.

By the way mie ni daktari wa mifugo na nimespecialise kwenye macho ya mifugo na napenda sana supu ya macho.
 
Mkuu kama ccbrt wameshindwa hapo muhimbili wataweza kweli?

Usitake kuanzisha vichekesho, unataka kufananisha CCBRT na Muhimbili? Duh!

Muhimbili ndio mwisho wa matattizo kwa Tanzania , wakishindwa hapo uende nje ya nchi tu.
 
njoo muhimbili kitengo cha macho upate msaada, ....

Mhhhn. Kwa hii comment ya kat.ph hapo chini sidhani kama jamaa atakanyaga Muhimbili.

....nilikua na ndugu yangu alikua na matatizo ya macho.....Muhimbili wakasema afanyiwe operations kila mwezi for the rest of her life🙁

Khaa!!! Huyo daktari alitaka kufungua kibanda cha biashara hapo Muhimbili au?
 
Last edited by a moderator:
Habari wa jukwaa letu la lfdoctor?
Jamani nimekata tamaa ya kupona macho, nimetembea kwenye hospital nyingi tu naambiwa hawaoni tatizo wananipa tu ushauri wa kula vyakula na matunda na pia kutumia miwani ili kurekebisha uono hafifu, hii ina maana kuwa hospital hakuna tiba ya macho zaidi ya kupewa miwani tu.
Mimi binafsi sipendi kutumia miwani bali ni kupona kabisa tatizo la macho, niliwahi kuambiwa nimechezewa lakini hata tiba za jadi hazijanisaidia zaidi ya kufuja pesa. naombeni ushauri wadau nifanyeje?

kama una mwamini Mungu panda ndege nenda kwa Tb Joshua,nimemwona mtangazaji wa Television pale aliponywa siku hiyo hiyo
 
Kuna wazungu pale ccbrt waliniambia tu niwe nakula mbogamboga tu, hii ina maana kwamba nitakuwa na upungufu wa vitamini C kwani baada ya hapo nilishauriwa nitumie miwani tu kwamba kadiri siku zinavyokwenda itakuwa inanisaidia na hatimaye kuacha kabisa kuitumia.

Mkuu naona wewe huna tatizo la macho ungekuwa nalo usingeendelea kupoteza hela kwenda Hospitali na Hospitali.Labda tuambie kwanini hutaki miwani?

Nina miaka 12 navaa full time miwani ambayo rafiki zangu huwa wakijaribu kuvaa hawakai nayo hata sekunde 3
 
Jamaa yangu nimekuomba UMRI WAKO
km ni ya kusomea haina ujanja hasa maandishi madogo km ya simu au Computer km upo fulltime 18hrs ni lazoma
na km una umri kuanzia 35 - 40yrs nguvu ya kusoma mara nyingi wanapewa 1.0
na km una umri wa 45 - 50yrs utapewa nguvu ya mowani ya kusomea 1.5 - 2.0 - 2.5
km i,espgea 55yrs 3.0

Mkuu nadhani nguvu ya lens inategemea na ukubwa wa tatizo. Mimi ninavaa -4 na hata sijafikisha miaka 30
 
EMT, wewe ni mtu hatari sana, unataka kunywa supu macho ya mgonjwa? Bora aende kwa Ndodi ambako dawa ya kisukari inatibu pumu, bandama, ini, figo na macho kwa kutumia galoni 6.
 
Last edited by a moderator:
Pole, lakini hongera kwa kukubali option iliyopo ya kuvaa miwani.

Mkuu nadhani nguvu ya lens inategemea na ukubwa wa tatizo. Mimi ninavaa -4 na hata sijafikisha miaka 30
 
EMT, wewe ni mtu hatari sana, unataka kunywa supu macho ya mgonjwa? Bora aende kwa Ndodi ambako dawa ya kisukari inatibu pumu, bandama, ini, figo na macho kwa kutumia galoni 6.

No. Nakunywa supu ya macho ya mifugo. Supu ya pweza haioni ndani hapo.
 
Halafu nauliza kuhusu tiba mbadala, wapo baadhi ya madaktari wamenambia kuwa hospital hazina dawa za matatizo ya macho zaidi ya operation, hivyo naambiwa niende kwa wataalam wa tiba asilia wanaotibu kwa vidonge, pia wapo wanaoniambia kuwa kama hospital hawana dawa ya kunitibu, basi! hata tiba za asili za kina dr. ndodi hazitanisaidia, hivyo nakata tamaa ya kupona kwa kuwa hospital hakuna tiba ya tatizo langu.
Ni dr.gani anaweza kunipatia tiba kamili kwa huko dar? mimi nipo dodoma.

Nakuomba uje kwa YESU hii nitiba tosha amini umekwishapata uponyaji katika jina la YESU
 
Back
Top Bottom