Nimekata tamaa ya kupona .

Tengeneza juisi ya Karoti uwe uankunywa kila siku macho yako yatarudi nuru yake na hutoweza tena kutumia miwani. tumia kisha uje unipe Feedback Health service

Ukiwa na swali unaweza kunitembela kwa kubonyeza hapa.Mawasiliano ~ Mzizi Mkavu


 

Attachments

  • bigstockphoto_Carrot_Juice_3102016.jpg
    92.4 KB · Views: 150
Last edited by a moderator:
tumia mafuta ya mawese kuna jamaa yangu alikua na tatizo kana lako now havai miwani!
 
Mkuu kama unaona matumizi ya miwani hayafai, jifunze kupapasa na hudhuria shule ili uelewe kusoma maandishi ya vinundu!
Mi ushauri wangu ndio huo vinginevyo endelea kuliwa hela.

Mkuu matatizo yangu hayajafikia huko unakodhani. tatizo langu nikitaka kusoma au kuandika ni hadi nisogelee kitu karibu hata simu pia yaani kama unavyomuona albino anavyotumia simu kwa kuisogeza karibu na uso. nje ya hapo natembea vizuri na kufanya mambo yangu kama kawaida.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…