Nimekata tamaa ya maisha

ivi mtu ni mwanamke unapitiaje hali ngumu kutaka kujiua wakat una mume anaekuhudumia
 
Naenda kwa rafiki nan na tumbo, na mtoto wa 3yrs, na mwingine miaka 10 anasoma
Kwa hivyo unataka kujiua ili uwatese zaidi watoto wako?
Ishi kwa akili ya wanao, hawakukuomba uwalete duniani.
 
Usikate tamaa,hapo unapitia mood swings tu. Jifungue kwanza upate mtoto then mengine yatafuata.
 
Kuna watu wanapitia magumu kuliko wewe. Pole Kwa kucahagua mwanamke asiyeleta furaha ndani ya nyumba
 
Kama kila anaepata changamoto anapaswa kujiua... Hii dunia ingebaki pagale.

Mateso yakizi ujue neema inakaribia..
 
Yani uache wanao kwa sababu ya ujinga wa mtu mmoja
 
Pole sana ndugu,ni ya muda tuu yanapita,mama yako atapona,mumeo anachepuka, usiwaze hiyo ni kawaida,nitumie namba zako inbox nitachepuka na wewe na utamsahau huyo mumeo,dunia ni ngumu na unahitajika kuwa mgumu,yanapita very soon
 
Nawaza usiku silali natamani nijiondoe tu duniani nawaza ninawatoto 2 nawaacha wapi ambapo watanisahau kwa haraka?
Sasa kama unataka kuwatesa hao watoto basi jiue! Hakuna kitu kibaya hapa duniani kama uyatima ukiwa mtoto! Tuulize sisi!
 
Pole Sana dada! Jisogeze jirani na nyumba za ibada. Mwenyezi anayo suluhu ya matatizo yako..Yote hayo yatapita
 
Pole sana ndugu ndio maisha yalivyo kila mtu analia kwa namna yake kwa hivyo usijisikie vibaya ukadhani changamoto uko nazo peke yako ni vile tu wengine huwa hawasemi wanaumia kimyakimya moyoni.
Japo ungeweka wazi hiyo ndoa inakutesaje ili ungepata ushauri na njia sahihi za kufuata ili kupunguza hayo mateso unayosema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…